simu

  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu iongeze umakini katika maombi ya ku recover password

    Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Habari ya muda huu, Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview. Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza. Natanguliza...
  4. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu , Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi yamshikilia Staa wa Man. City, atuhumiwa kukwapua simu ya shabiki

    Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
  7. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukiwa unatumia simu au kompyuta

    Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi: 1. Usalama wa Mtandaoni: - Tumia nywila (password) ngumu na salama. - Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika. - Hakikisha kompyuta au simu ina...
  8. nipo online

    JamiiForums Tanzania Update update kutoka America percel. Nimepigiwa simu eti mzigo upo mwalimu nyerere airport. Kutoka kalifonia.

    Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

    Dar inashangaza Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara. Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
  10. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Je, simu aina ya Docomo (Samsung twin sister) zinafaa kwa matumizi?

    Habari wanajukwaa! Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya kazi na kampuni ya Samsung, japo sina ushahidi wowote ila baada ya kuitumia nimeona inatumia Samsung...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
  13. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tigo na makampuni mengine ya simu njooni mjibu tuhuma hizi kabla hatujawakimbia

    Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya uongo- kama ilivyo lipotiwa: Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  15. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata namba za simu

    Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
  16. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani wa simu ni salama kwa matuzi?

    Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo 2.Vodacom 3.Airtel. 3.Halotel 4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia unapoibiwa simu?

    Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa. Sasa ni nini cha kufanya unapoibiwa simu? Wengine husema katoe kwanza report polisi. Wengine husema block line...
Back
Top Bottom