simu

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

    Hata ya Lamomy hushiki?
  4. JourneyMan

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

    Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications? Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download. Nani Samsung yake ina support hii kitu? Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  6. The bump

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo. Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu. Airtel na Vodacom. Tigo ni wezi sio unlimited wanakupa unlimited kwa speed uliyolipia kisha wakiona unakamua kweli kweli bando kwa limit...
  7. Pagani Zonda

    JamiiForums Tanzania Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

    Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania KERO Ukienda Polisi kuwataka watrack Simu iliyobiwa, bila Pesa hufanikiwi

    Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi...
  9. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

    Habari, Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne. Thanks in advance
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  11. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuunganisha Simu na TV ambayo haina Casting?

    Wakuu, nina TV yangu nch 32 ya kampuni ya Mysol ambayo ina uwezo wa kupokea camcard ya king'amuzi chochote bila shida. Sasa changamoto ninayoipata ni kutokuwa na casting option ili niweze kuunganisha na simu yangu moja kwa moja, maana Nina link zinazo niwezesha kustream mechi za ligi mbalimbali...
  12. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  13. trojan92

    JamiiForums Tanzania Ni simu gani hutakaa utumie?

    Ni simu aina huta diriki kununua tena au hata ukipewa bure hutaki kabisa kuisikia?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kazima simu kisa mpango tulikuwa nayo mwezi huu

    Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujua kama Simu yako Imedukuliwa 'Hacked'

    VIASHIRIA KUWA HUENDA SIMU YAKO IMEDUKULIWA Simu yako kufanya kazi tofauti na ulivyoitaka au ambazo hujaidhinisha kama kutuma Ujumbe, kupiga simu Uwepo wa Programu Wezeshi (Applications) ambazo hujaziweka wewe na hazikuja na simu hiyo kutoka kwa Watengenezaji Chaji kuisha haraka kuliko...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

    Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kukagua kama Simu au Kompyuta yako kama ina “Virus”?

    Virusi ni programu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu programu nyingine zinazokuwepo kwenye mfumo wa utendaji wa kompyuta au simu. Virusi vya kompyuta vinaweza kufuta, au kuharibu mafaili, kuathiri mfumo wa utendaji wa kompyuta na kuifanya kuwa nzito kwa kuenea haraka na kushambulia...
  18. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
Back
Top Bottom