Mtu mwenye line atakua analipa sh 1000 kwa mwezi na sh 12000 kwa mwaka kama income tax
Hatakama watu wanaiba fedha haitaondoa ukweli bado makusanyo yetu ni madogo sana
https://www.jamiiforums.com/threads/nina-nia-ya-kuwa-rais-wa-tanzania.2228628/
Usisahau kushare video na mwenzako
Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao.
Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!
Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!
Hivi nida ni...
Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.
Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.
Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
Naomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo hayoo..naomba kujua mtaji unaweza kuwa bei gani na vifaaa vipi nahitaaji hasa upande wa ufundi simu.
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake...
Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide.
Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu .
Pause :
Mimi naitwa Mkisi ...
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna...
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa.
Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana.
Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.