simu

  1. dorge

    JamiiForums Tanzania Hawa waganga nani anawapa namba zetu za simu?

    Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maryprisca Mahundi atoa siku 14 kwa TTCL kuongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet Forodha ya Kasumulu

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet, katika kituo cha pamoja cha Forodha cha Kasumulu, kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu utendaji wa simu ya M Horse S24

    Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa Muhimu vya kuanzia Biashara ya ufundi simu

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025 Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara upande wa hardware na software muhimu za kuwa nazo. Itapendeza kama utaweka na bei ili niangalie...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

    Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nanunua simu used

    Habari, natafuta simu, kwa yeyote aneuza simu yake anicheki. Bajeti yangu mwisho 200,000 Nicheck whatsapp 0622905303 Kampuni yoyote we njoo na sim yako inbox. Ahsante Muuzaji uwe dar
  7. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

    Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
  12. Mike400

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung ao5 ram4..gb 128

    Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new .. Bei 210k .. Mteja serious..0684 56 25 23 Unapata charge original..pamoja na earphones
  13. W

    JamiiForums Tanzania Matapeli 11 wadakwa na laini 9,389 za simu

    JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na unyang’anyi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo ametoa...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  15. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

    MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote". Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
  17. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

    Voda Voda Voda!! Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani? Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa. Kila ikifika saa Moja jioni. Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda. Nawahama!!! Vodacom Tanzania
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nauza simusamsung s21 + 5gram 8 gbstorage 256bei 450,000 maongezi yapo 4 nipo darhaina kipengele labda aje nacho mteja

    Nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 450,000 INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
  19. Kop0

    JamiiForums Tanzania Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
Back
Top Bottom