Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi?
Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka.
Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi,
Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
android
baada
bei
bei ghali
buku
dhahabu
ghali
iphone
kuhamia
kununua
kuona
louis
louis vuitton
matumizi
mtoto
mtoto wa
muonekano
muonekano mzuri
ndani
sana
shule
simu
uhuru
wenye
Salam wana Jf.
Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb,
Ram 6gb.
Changamoto yake:
Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi.
Kazi inafanya vizuri tu hai haina Kipengele kingine.
Nataka nifanye Top up nichukue Google Pixel au Samsung series...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale .
Ila naona unagoma.
Kazi...
USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay
NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication)
NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10).
Inatumika wapi?
Kufanya malipo (e.g...
WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA
Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa.
Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu ambae una Mtaji Tu gharama kubwa ni upande wa Vifaa au Vitendea kazi.
Nipo Hapa kumpa Taarifa Mtu anae...
Za Weekend Wakuu!
Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007.
Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke
Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana
Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo...
Namba za Simu za Kimataifa ni Nini?
Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
Habari za majukumu wanajamvi!?
Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
Wakuu habari yenu
Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia.
Natanguliza shukran
Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo!
Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
Katika dunia ya kisasa, teknolojia imekuwa chombo muhimu katika kusaidia juhudi za usalama na utafutaji wa watu waliopotea au kutekwa. Mojawapo ya teknolojia inayotumika sana ni minara ya simu za mkononi (cell towers). Minara hii inaweza kuwa msaada mkubwa katika kufuatilia harakati za mtu kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.