Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 14, 2025 #1 wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,742 Reaction score 24,154 Apr 14, 2025 #2 Kama umeshamaliza si kazi yako kuitoa hiyo bali ni wao. Nenda kwenye kampuni uliyokopa then watakusaidia ili uwe free na simu yako sasa
Kama umeshamaliza si kazi yako kuitoa hiyo bali ni wao. Nenda kwenye kampuni uliyokopa then watakusaidia ili uwe free na simu yako sasa
Papaah JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,535 Reaction score 3,648 Apr 14, 2025 #3 Endelea kulipia mpaka itoke.
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 14, 2025 Thread starter #4 sawa nitaendelea kulipia mkuu mpaka itoke
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,273 Apr 14, 2025 #5 Hiyo 650tsh ni kiasi cha malipo yapi?, wakati ushamaliza malipo sijaelewa