simu

  1. MKATA KIU

    Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  2. nipo online

    Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  3. H

    Tabia ya mtu kupokea na kuongea na simu wakati anakula chakula inakera na siyo ustaarabu

    Habarini, Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu. Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani??? Ebu...
  4. D

    Niuondoeje mstari huu kwenye simu yangu?

    Niu
  5. K

    Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
  6. RoadLofa

    NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na...
  7. Saa kumi na moja

    Vodacom 4G inasababisha simu kupata joto sana

    Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake...
  8. Chance ndoto

    Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  9. Barantogwa

    MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  10. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Habari ya mchana! Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka kama kadongo! Yan ukifumba na kufumbua unakuta lina zero na simu imezima. Jamani. Shida ni simu au...
  11. W

    Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Elon kamaliza kazi Simu zetu hizi zitakua na uwezo wa kushika mtandao wa StarLink moja kwa moja

    Sasa mkombozi wetu ametufikia tena. Ni jambo la kumshukuru Mungu. Jamaa yetu Elon kakinukisha huko. Mnalionaje hili wakuu, Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink. Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel. Tubaki na biashara za Miamala. Source...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hivi hii Tabia ya wanawake (wake zetu) kuacha simu ovyo ni ya wanawake wote ama mimi tu?

    Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati. Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua. Visingizio hivi ni vya miaka na miaka haijawahi kubadirika kitu. Kuna muda itakupasa upige simu kwa jirani maana...
  14. GemMaster II

    Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

    Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi. Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
  15. M

    SMS nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

    Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu) Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika Mke saa 19:30 usiku--...
  16. R

    Kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ninunue simu gani ambayo kioo chake hakizidi laki 1 ?

    Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
  17. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa: Wanaolalamika kuibiwa Simu wanakutana na Nenda rudi nyingi kituo cha Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka. Bashungwa amesema...
  18. The ice breaker

    Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

    Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
  19. Maleven

    Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

    Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu. Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
  20. The ice breaker

    Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

    Wakuu Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi. I'm very sad
Back
Top Bottom