simu

  1. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

    Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  5. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  9. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Apps za simu kwa ajili ya afya (Tanzania 2025)

    Apps za Simu kwa Ajili ya Afya (Tanzania 2025). Katika zama hizi za kidijitali, simu janja zimekuwa zaidi ya mawasiliano—zinasaidia hata kwenye afya zetu. Hizi hapa ni baadhi ya apps mpya au maarufu zinazotumika Tanzania kwa ajili ya huduma za afya: 1. AfyaTrack – App hii ya Kibongo...
  10. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  11. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

    Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu? Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje? Mimi natumia line moja tu ya simu na...
  12. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH,BEI NI BILLION 2,MAONGEZI YAPO, SIMU 0758844717

    GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH ROOMS 6 ZOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO,STOO DINING, PUBLIC TOILET PLOT SIZE SQM 1720 INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu yeye na Simu yake ataki niishike hata kidogo. Na siku aliyoumwa aliikumbatia kama mtoto

    Hapa Dar kila mtu yuko busy sana na maisha. Mwaka juzi mke wangu alipata changamoto ya kiafya kiasi simu yake hakuweza kuwasiliana. Nikalazimika kuchukua likizo ili kumuuguza. Lakini pamoja na kuwa na hali mbaya kiafya bado hakubanduka na simu yake. Tatizo lilitokea ambalo simu yake ilitakiwa...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kusumbua chaji ni langu peke yangu?

    Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda. Naombeni uzoefu wenu watu...
  15. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
  17. Half american

    JamiiForums Tanzania Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani. Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
  18. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Mtu mwenye line atakua analipa sh 1000 kwa mwezi na sh 12000 kwa mwaka kama income tax Hatakama watu wanaiba fedha haitaondoa ukweli bado makusanyo yetu ni madogo sana https://www.jamiiforums.com/threads/nina-nia-ya-kuwa-rais-wa-tanzania.2228628/ Usisahau kushare video na mwenzako
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

    Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao. Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
Back
Top Bottom