Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,196
Reaction score
1,846
Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.

Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.

Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
 
Ivi kwa nini mtu utoke sehemu ya mbali, then uende kununua simu k/koo?? 🤔 🤔..
 
Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.

Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.

Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
Pole mkuu,niliuziwa simu kesho yake ikatowa milaba km wale punda milia wa kijivu kule Etiopia
 
Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.

Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.

Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
Tuanzie hapa hizo simu fake zinatoka wapi na zinaingizwaje nchini? Wakati tuna TBS, KMKM, Fair Competition Commission (FCC), TRA pia TAKUKURU wanaweza pia kuwa involved lakini cha ajabu ni kwamba CHADEMA wakisema no reforms no election wanakamatwa mara moja tena na mabomu ya machozi na risasi za moto juu. Waingizaji na wauzaji wa vitu fake hawaguswi hata kwa unyoya wa ndege. Itoshe tu kusema uchaguzi wa hovyo unazalisha viongozi wa hovyo wasiopenda kuwajibika.
 
Back
Top Bottom