simba

  1. JamiiForums Tanzania Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

    Asanteni sana Chelsea FC kwa Kuturahisishia Kazi baada ya Miaka 30, ila Prisons FC Jumapili mtatusamehe mno Simba Sports Club kwa Kichapo.
  2. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa | Vodacom Premier League: Simba SC 3 - 0 Mwadui FC

    ==== BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam tangu kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Juni 13. Ligi Kuu Tanzania Bara ilisitishwa Machi 17 kutokana...
  3. JamiiForums Tanzania Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
  4. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

    Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na...
  5. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba atimuliwe

    Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu. #kishingoout#kishingorudikwenu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba, kama inatwaka itwae kombe la CAF iwekeze kwenye beki na kipa wa ukweli.. Good defence = championship

    Habari wadau.. Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika.. Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league nimejifunza mengi sana.. Mpira wa africa una tofauti kubwa na wa ulaya.. ushindani wa caf champions...
  7. JamiiForums Tanzania Ndiyo tuna Timu nzuri, ina Morali na Mazingira yote mazuri ila nawatahadharisha wana Simba SC Mechi ya leo si rahisi kihivyo Kwetu kama tuwazavyo!

    Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine Tatu ( 3 ) ambazo zote tutazicheza katika Uwanja wa Uhuru au pale kwa Mkapa. Sina Shaka na Timu yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

    Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua. Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo: 1.MZUNGUKO elfu 5000 2.VIP B elfu...
  9. JamiiForums Tanzania Ama hakika Simba Sports Club ya Msimu wa 2020 / 2021 itakuwa ni ile ya Tema Mate Kushoto kisha Unafukia Kulia na Raha tupu tu!

    Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba. Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
  10. JamiiForums Tanzania Mo hapoi wala haboi huko Simba.....

    Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
  11. JamiiForums Tanzania Simba sports club: ubahiri siyo deal lipeni vizuri wachezaji wenu

    The picture speaks more louder than words
  12. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wapiga goti kumuenzi George Floyd

    Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani. R.I.P George
  13. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu sasa tushindwe Wenyewe Kubeba Kombe la VPL kwani kwa ' Fixture ' hii mpya Simba SC hachukui Ubingwa tena!

    Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu nisiyoipenda kabisa duniani ya Simba SC. Tuwaombe akina GSM, La Liga na Klabu ya Sevilla waje watusaidie...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kuhamia NCCR/ CUF ni sawa na mchezaji mahiri kuhama Simba kwenda Toto Africans badala ya Yanga!

    Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM. Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC na Yanga SC kwenye game PES2020

    Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine! Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
  16. R

    JamiiForums Tanzania Okwi ndani ya Simba

    Kama itakuwa sahihi
  17. JamiiForums Tanzania Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

    This is next level
  18. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi a
  19. JamiiForums Tanzania TFF na BMT mpo serious kweli? Hivi Kagere na Morrison wanaliuaje Soka letu?

    Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao. Cha muhimu...
  20. JamiiForums Tanzania Dakika ya 70 yanga 3 simba 0

    Mechi hii imechezwa jana majira ya saa 11 alfajir mechi ilianza kwa kasi na toka mwanzo mwa mchezo Yanga ilitaka kuonyesha umwamba wake mbele ya simba na wakajipatia goli la mapema dakika ya 2 kupitia kwa Bernad Morrison.llilkuwa moja ya magoli matamu kabisa kushuhudiwa ndani ya uwanja wa taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…