OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,711
Meddie Kagere goli 2
Rally Bwalya goli 1
Miqsonne goli 3
Simba ni tawi la.ccm, kabachori Mudy kawaingiza chamani bila kujijua
Jukwaa la Siasa lipo. Kuwa mstaarabuSimba ni tawi la.ccm, kabachori Mudy kawaingiza chamani bila kujijua
tulipowakula nne tuliwaokoteza wapiNdo kazi ya nguruwe fc hiyo kuokoteleza vitimu vibovu ili ionekane inaupiga halafu ikukutana na wanaume wanaoiweza kazi Kama Namungo fc wanaishia kufunga magoli 2 tena yakusaidiwa na Mchezaji wa Yanga. BM33.
Hamna kikosi Hapo bwashee.
Walitaka wamtoe kafara mtoto wa watuKaz yao hii View attachment 1554492
Ndo kazi ya nguruwe fc hiyo kuokoteleza vitimu vibovu ili ionekane inaupiga halafu ikukutana na wanaume wanaoiweza kazi Kama Namungo fc wanaishia kufunga magoli 2 tena yakusaidiwa na Mchezaji wa Yanga. BM33.
Hamna kikosi Hapo bwashee.
Ustaarabu angeuaanza mudy kwenye simba dayJukwaa la Siasa lipo. Kuwa mstaarabu
Leo imekuwaje mmecheza match bila viingilio na watu hawajafika Uwanjani wakaenda kwa Lissu?Jukwaa la Siasa lipo. Kuwa mstaarabu
Ila kamfunika jamaa yenu,dogo kapiga show ya maana sana jana
Ila kamfunika jamaa yenu,dogo kapiga show ya maana sana jana
Leo imekuwaje mmecheza match bila viingilio na watu hawajafika Uwanjani wakaenda kwa Lissu?
walienda kumshangaa kilemaLeo imekuwaje mmecheza match bila viingilio na watu hawajafika Uwanjani wakaenda kwa Lissu?
Ila hii mechi haikuwa na ladha wala msisimko
UuwiiiKaz yao hii View attachment 1554492
Ha ha ha mpeni salamu Mwarabu wa nguruka
Au hao Arusha FC mchezaji wao alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 26 kipindi cha kwanza?Meddie Kagere goli 2
Rally Bwalya goli 1
Miqsonne goli 3