simba

  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba wamechukua ubingwa wa Africa mara ngapi?

    Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano. Pia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati (Kagame)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kaimu CEO Yanga: Tumepata somo la kutosha kwenye mechi na Rivers Utd sasa Simba Sc wajiandae jumamosi

    Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu yao kutolewa na Rivers United katika hatua ya awali ya Caf Champions League!! Haji Mfikirwa akaongeza...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

    Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19 Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL. Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
  7. demigod

    JamiiForums Tanzania Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

    Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa. Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa kutazama Mwanajangwani aliyepoteza uelekeo kule Port Harcout - Nigeria. Kiufupi kichekesho kimojawapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba maneno mengi acheni timu tumeiona leo

    Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hiki kituko cha msimu, yaani Profesa Jay ndio MC wa Simba day

    Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised. Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ? Simba SC is very boring. # Haji Manara is cut from a different cloth
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mpoki: kwenye benchi la ufundi la Simba Kuna waganga

    Ameyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba..
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba day bila Manara ni vuruvuru

    Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta kocha mpemba simba queens ni muhujumu uchumi

    What a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA
  14. K

    JamiiForums Tanzania Simba wekeni screen kubwa uwanja wa uhuru kiingilio kiwe 3000

    Natoa ushauri huu ili sisi ambao hatutaweza ingia mkapa tuweze shangilia nasi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

    1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa. 2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya simba day 2021 natalia niende na mwanagu

    Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day, Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 . Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa ukoje? Je tiketi zina namba kama za kwenye sinema? Je hakutakua na vurugu,usumbufu? Je tunaweza...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  18. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à Arusha Tanzanie

    16 September 2021 Arusha, Tanzania Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya kimataifa ya CAF Champion league. Mchezo wa kirafiki baina ya Simba SC dhidi ya Aigle Noir C.S ya...
  20. maatope

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

    Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri Mwaka jana walifanikiwa ku frustrate wanunuzi wa tiketi na mwaka huu bado siku mbili jamaa wanaupiga mwingi sana hadi sasa huku kina...
Back
Top Bottom