Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,779
Screenshot_20210920-073239_Chrome.jpg


Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili

Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19

Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL.

Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek
 
Viongozi wa Simba kuweni makini sana na muiandae timu kama vile inaenda kucheza na Zamalek, Mamelod, n.k. Achaneni kabisa na hawa waleta habari kuwa mnaenda kucheza na timu dhaifu. Kumbukeni kilichowakuta kwa kuidharau Kaizer.
 
Simba hata fainali anaweza ingia lakini kwa forward ya kibu, kagere, boco na mgalu matumaini tuyaondoe.
Mechi ya jana wale tp wangekufa mapema tatizo ni hilo tu

Umekimbilia haraka mno kuwalaumu mastreka.

Jana simba ilichokosa ni huduma ya kiungo mchezeshaji.

Hatukua na spirit ya kuforce mashambulizi japo mpira tulikua tunaumudu.

Wale streka hawakupewa mpira wowote mzuri!!!

Kuna haja kocha afanyie kazi hapo.
 
Mazembe wameshinda kazi ya kocha na wachezaji kujitambua na walikuja kuvunja mwiko, kingine Mazembe walishinda sababu ya Mwamba Mkali the 24 shirt Zemanga Soze, anaupiga mwingi sana, Mrithi wa Chama sifuri RB kazi yake shoo shoo nyingi.

Simba hawajui Offesinve play mpaka wafungwe, Simba ya kipumbavu ndio ile baada ya sub kuanza.
 
Viongozi wa Simba kuweni makini sana na muiandae timu kama vile inaenda kucheza na Zamalek, Mamelod, n.k. Achaneni kabisa na hawa waleta habari kuwa mnaenda kucheza na timu dhaifu. Kumbukeni kilichowakuta kwa kuidharau Kaizer.
Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa josh waliobak weng mech kubwa wanafel ni vzur yule mkongo akacheza na josh maana simba si wazur kwa mipira ya kona au faulo

kingine sijui tokea mwaka jana naona kushuka kwa viwango kwa tshabalala na kapombe angepatikana bek mmoja wa pemben wa kimataifa na mzawa mmoja ili wawape changamoto nzur kapombe na shabalala ,na sehem nyingine ni kat pia bado sijaona kama wametibu pale kat kuna wachezechaj weng kuliko wakabaj angepatikana mkabaj asilia kumzd lwanga na mkude pia hawakuwekea nguvu sehem iyo yule saido ni mzur ktk kuchezesha timu mbele kuliko kukaba

Lwanga ni mkabaj ila si mzur sana kunusa atar na ayupo shap na mara nying anakaba kwa kucheza faulo ni atar sana kucheza mechi kubwa ukacheza faulo mara nyng utapewa kadi au utaumia au ata kupoozesha move na mwsho tatzo lipo namba tisa karbu wote viwango sana nilijua wangejitaid apatikane strike zaid ya boko mugalu au kagere lkn pia bado hawajafanyia kaz apo bado pengo la chama na luis so kwa mwaka huu sizan kama simba itafanya vzur sana asa kimataifa maana matatzo ya mwaka jana meng bado yapo vile vile
 
Viongozi wako washafanya kosa subir tu wanaweza kupita kwa uyo ila wasifanye vzur zaid simba walikua na matatzo makubwa matatu ambalo lilisababisha mwaka jana waishie robo kwanza mabek ukimtoa...
We unaelewa unachozungumzia kweli?

Maana naona umesema kikosi kizima kina mapungufu, umefuatilia hata kikosi kweli?

Viungo wakabaji wote bado unataka tena?
 
Mazembe wameshinda kazi ya kocha na wachezaji kujitambua na walikuja kuvunja mwiko, kingine Mazembe walishinda sababu ya Mwamba Mkali the 24 shirt Zemanga Soze, anaupiga mwingi sana, Mrithi wa Chama sifuri RB kazi yake shoo shoo nyingi. Simba hawajui Offesinve play mpaka wafungwe, Simba ya kipumbavu ndio ile baada ya sub kuanza.
Simba wakifungwa ndo wanaanzaga kuwa aggressive ,uwezo wanao tatizo hawapo aggressive na kila mchezaji anawasiwasi kutoa maboko ,jana Morison alikuwa anakaa sana na mpira
 
We unaelewa unachozungumzia kweli?
Maana naona umesema kikosi kizima kina mapungufu, umefuatilia hata kikosi kweli?
Viungo wakabaji wote bado unataka tena?
Ebu niambie ww eneo gani simba ambalo wamelifanyia maboresho kwa kuzingatia mapungufu ya msimu uliopita,ukiacha kusajili wachezaji ambao tunasubil matokeo ,kama unaongea kwa matumin ya kusubili cha mbele sawa lkn mm nimeongea kwa kuona kasoro za msimu ulioisha
 
Kwa kawaida ya Simba wataleta dharau na mchezo utakuwa mgumu sana kwao.

Wakumbuke hata costal union walicheza nayo wakatoa sare.

Kwenye mechi ya juzi,kasi ya TP ilikuwa kubwa, accuracy ya pass ilikuwa kubwa,uharaka wa kukaba ulikuwa mkubwa tofauti na Simba.

Simba walionekana kupungukiwa mbinu za kukaba,hawakuwa aggressive kama wenzao walivyokuwa.Wakikutaba na timu yoyote aggressive mfano Yanga itawapa shida sana.Na hili naliona huenda likatokea kwa wapinzani wetu.Kwa vile tuna dharau,linaweza kutugharimu.

Ila asante Barbara Gonzales ulituondolea msukule.Maana huu ulipotosha sana wachezaji wakijiona ni super humans,kumbe misifa ilipitiliza.Kuna wachezaji sifa hizo walizipuuza wakatekeleza wajibu wao.Mfano Luis.

Natarajia Simba isisikilize misifa ya watu wajinga wanaosifia kishabiki.Wacheze kama underdogs.
 
Back
Top Bottom