simba

  1. demigod

    JamiiForums Tanzania Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
  2. Cambodian

    JamiiForums Tanzania Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
  3. C

    JamiiForums Tanzania Simba tumefungwa lakini nimeridhika

    Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0. Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia. Pamekuwa...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba mjiandae na red card leo, Yanga itashinda na 2+ goals

    Tukielekea derby ya Simba na yanga Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme sijasema Otherwise game nzito kipindi cha kwanza, cha pili yanga wanamaliza mchezo Ft gg&3+ wale...
  6. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Asalaam Aleykum Dar es Salaam Asalaam Aleykum Tanzania Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla. Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni leo hii ya tar. 25.9.2021 majira ya saa 11:00 jioni nyasi za uwanja wa Mkapa zitashuhudia mpambano...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

    kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Za chini ya kapeti hichi ndio kikosi cha simba kesho..

    Nikiwa mwanasimba kindaki ndaki nimepokea taarifa kutoka kwa kigogo mmoja ndani ya simba kikosi kitakochoanza ni hiki hapo kesho. 1:Azim dewji 2: Kasaam dewji 3: fatuma dewji 4:ahmed dewji 5: Barbra.. 6:thureya dewji 7: kuruthum dewji 8:mo dewji 9: mobetto 10: monalisa 11: dalali...
  9. Memento

    JamiiForums Tanzania Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  10. B I N A M U

    JamiiForums Tanzania Wamekopa magari uko 😂😂😂😂

    Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni. Mdhamini atatoa mabasi matatu; 🚍 Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team 🚐 Basi la pili litatumiwa na Simba Queens 🚌 Basi la tatu litatumiwa na timu ya vijana (Simba Youth)...
  11. C

    JamiiForums Tanzania PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

    Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20 Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu Jezi (nembo ya mdhamini africarriers)...
  12. Lee

    JamiiForums Tanzania Simba sc yaingia dili nono na Africarriers ltd

    CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao utawanufaisha simba sc kupata mabasi 3 yenye hadhi ya kibingwa (GOLDEN DRAGON NEW MODEL) , baada ya...
  13. demigod

    JamiiForums Tanzania Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona. Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti. Cha kushangaza zaidi...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa simba akiri mashabiki wa simba huchangia kujaza viwanja mechi za yanga, Je simba haiwaridhishi??

    Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC HITIMISHO 1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀 2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game...
  18. demigod

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ni Dhahiri Kuwa Ilikuwa ni lazima Haji Manara aondoke Simba SC Kumpisha Barbara

    Wanamazengo, Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine? Sote tunajua...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anashabikia timu gani?

    Marais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa? Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa pete? Tutani hapo!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuelekea Derby na Yanga SC naona mnalirudia tena Kosa lile lile ambalo niliwaonya huko nyuma, tukifungwa mtatukoma Mashabiki

    Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga? Nilishawaambia kuwa hata kama Timu yetu sasa inaendeshwa Kisasa (Professionally) ila kwa Utamaduni wa...
Back
Top Bottom