Hivi Simba wamechukua ubingwa wa Africa mara ngapi?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano.

Pia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati (Kagame).

swali kwa watu wa simba naomba nijuzwe kama simba ana kombe kubwa zaidi ya kagame na amechukuwa ubingwa wa afrika mara ngapi
 
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano, piia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati(Kagame)

Makolo achana nao
 
Watadai unawaonea wivu sababu klabu yao inajutajiri kuliko ya Yanga.

Waulize zile B 2 zilizotajwa na mwenye timu yake ziliyakinishwa wapi au ndiyo zile style za Muha kujikopesha pesa toka mfuko wa kushoto na kuweka mfuko wa kulia

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano, piia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati(Kagame)
swali kwa watu wa simba naomba nijuzwe kama simba ana kombe kubwa zaidi ya kagame na amechukuwa ubingwa wa afrika mara ngapi
Tafuta hela utarukwa akili bure
 
Wewe ndo ujaelewa,mabingwa kwa mabingwa wamecheza inamaana ni mabingwa wa kwenye nchi zao.Mazembe bingwa DRC na Simba ni bingwa wa Tanzania.

Kwenye histori Mazembe kabeba ubingwa wa CAFCL mara tano Simba haijawai kubeba.bingwa wa sasa wa CAFCL ni Al Ahly waliopigwa kwa Mkapa na Simba mwaka jana.

Sijui umeelewa au bado bichwa lako ni zembe kuelewa?
 
Unaumizwa na vitu vidogo haya kajiandae kupokea watalii JKIA
 
Mleta mada wacha nikujibu swali lako. Simba sc hajawahi kuchukuwa kombe lolote ngazi ya vilabu Afrka. Ni hivyo tu mwanangu Wala usisumbuke.
 
Back
Top Bottom