Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022.
Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland.
Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba.
TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
Habari wanaJF,
Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa.
🙏🙏🙏
Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa.
Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana...
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama
Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua simba ina mashabiki wengi sana
Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia
Hivyo wameamua...
Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.
Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama...
Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi.
Gomes ana (UEFA A Diploma) na kwa mujibu wa kanuni za...
Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021.
Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili kutawazwa mabingwa kwa msimu wa nne mfululizo.
Hata hivyo goli la dakika ya 13 lililofungwa na...
Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO.
Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani.
Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa miongoni mwao. Kwa kinywa chake haji manara amesema "sijawahi kuwa simba"
Itakumbukwa kuwa ni wiki...
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga.
Yaani yeye na simba au yeye na Yanga.
Haya hebu tutajane hapa ili tujuane.
kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe
NAANZA MIMI 1:YANGA
Kumbe hata Mbunge wa Chalinze mwana Yanga SC lia lia Ridhiwani Kikwete alivyosema Yanga SC mnafanya mambo ya Kipuuzi mengi hakukosea.
Pia kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema kuwa Wana Yanga SC wengi ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe hakuwakosea.
Yaani...
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international...
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.
Mo ni...
Wadau za Jioni.
Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC.
Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius...
Simba Queens imepigwa mambo na kutolewa mashindanoni na mko kimya, mna siri sana machawa wa tajiri Ilivoshinda kumi, mlipiga sana kelele humu.
Shubamiti.
Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.