Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji,
Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima.
Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na...
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao.
Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha
Wameweka adi happy...
Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro .
Na leo wametutambulishia kuwa ni uzi mpya wa simba ajabu kweli
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.
Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.
Hongereni sana Simba na Vunja bei.
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui.
Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa ifanyi vizuri Mo kaweka mzigo sasa tunaona simba inapiga kweli mpira biriani.
Tuache wivu kama nawe...
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
kitabu hiki kiliandikwa mwaka 1907 na JH Patterson kikiitwa The man-eaters of Tsavo. kilitafsiriwa kwa kiswahili miaka ya 1960's kikiitwa Simba wa Tsavo. Unaweza kukisoma bure ndani ya Maktaba app(by pictuss), app hiyo ipo playstore.
SURA YA I
KUFIKA KWANGU TSAVO
SIKU HIYO, ikapata...
Simba nguvu moja,
Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote).
Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani" dunia ikashangaa na brand ikakua kwa speed ya foojii. Waarabu wakatetemeshwa, wakongoman...
MUOGOPE MUNGU:
USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE.
Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
"Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?"
Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC.
Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19
Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena.
Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu
Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.