simba

  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Bayelsa Queens 1-0 Simba Queens | 3rd Place Match | CAF Women's Champions League | Stade Moulay Hassan, Morocco

    Bayelsa Queens Vs Simba Queens Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake. Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki. Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba jiandaeni kuotesha kichaka kingine cha kujifichia dhidi ya Yanga

    Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko. Sasa ni dhahiri shahiri kichaka hicho kinaanza kufyekwa taratibu na kitafyekwa kabisa siku siyo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC na Azam FC tafuteni haraka Makocha wapya, Nabi tuliyekuwa tunamngojea atimuliwe Yanga SC jana mmeshamkosa

    Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC msituzingue tafadhali tunamtaka Kocha mpya upesi Mgunda hamna Kitu na ni Samjo Samjo tupu

    Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo? Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa. Hivyo...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ama kweli uchawi upo, hivi kweli Kibu Denis ni wakupewa namba Simba?

    Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
  8. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuvurumishwa leo November 9, 2022 kwenye Uwanja wa Estadio de Liti mkoani Singida ambapo Walima Alizeti Singida Big Stars ambao ni wenyeji, wanamkabili vikali Mnyama Mkali Mwituni Simba SC Mechi inatarajiwa kuwa ni ngumu sana na ya kusisimua kwa...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT || Mamelodi Sundowns Girls 1-0 Simba Queens | Semi Final | CAF Women's Champions League | 09 Nov 2022

    FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 80' Simba wanapambana lakini mambo yanakuwa magumu 78' Simba wapo nyuma kwa goli moja 60' Ngoma bado ngumu Kipindi cha pili kimeanza MAPUMZIKO 45' Mwamuzi anakamilisha kipindi cha kwanza 40' Mamelodi wanapambana kutafuta goli kwa nguvu 30' Simba...
  10. ninosi

    JamiiForums Tanzania 09/11/2022: Simba Queen inaenda kuirudisha heshima ya Taifa tena baada ya Yanga SC kujaribu kuipoteza

    Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa. Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League...
  11. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

    Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980. Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
  12. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi yanga ikicheza na Simba Queens nani anachapwa?

    Hii ni serious debate niliikuta kwenye kijiwe cha kahawa. Kina mwamnyeto watachomoka kwa opa? Kina Kibwana watamuweza Aisha? Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina Aucho watatoboa kwa kina Sarive, Jacki na kina Joelle kweli? Mimi sidhani.
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Simba queens hawavumi ila wamo

    Hawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume. Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu. Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens mechi 3 milioni 460, Yanga mechi 30 milioni 600

    Kupanga ni kuchagua. Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b. Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

    Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia. Simba Queens ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya ASFAR, imeshinda 2-0 dhidi ya Green Buffaloes, wafungaji...
  16. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga Basi tuna pesa tunawanunua mpaka Simba?

    Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi? Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu...
  18. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka : Simba ni Simba tu, Simba kamwe hachezewi sharubu lake

  19. M

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  20. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

    Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba. Huu sio uungwana. Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga au Simba Hadi inakiiera.. unamuuliza. Je wanao watakuja kudai kiinua mgongo hapa? Je unapata...
Back
Top Bottom