Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga.
Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union.
Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja.
Kwanini GENTAMYCINE nina...
Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC.
Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC.
Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA
Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali
Wanasajili wanachama online which is a good thing....upande wa SImba mambo mengi yako kimya kimya hakuna uwazi.
Camp ya Yanga iko...
Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata.
Na akatoa angalizo la kwamba...
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.
Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika.
Siyo unakuwa na Msemaji muda wote ukiwa nae Jirani unasikia tu harufu ya Sigara, Bangi, Pombe na...
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti.
Hata Harambee...
Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary
Na Jamaa lingine akapost
Matokeo yake tukaanzia preliminary
Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na source
By ELIUS KAMBILI
NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja.
Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3...
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.