simba

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Azam mmejitahidi sana kwenye Mechi ya Ufunguzi AFL

    Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile wanazotumia Sky Sport. Tulibishana kidogo na alisema kamera za HD zote ni sawa. Nilichouliza kwa nini...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC sio yetu peke yetu

  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Simba kiwango kimeshuka

    Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa Uzi tayari Povu ruksa
  4. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

    Ukweli mchungu. Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana. Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni...
  5. ___pennie

    JamiiForums Tanzania Simba bado ni mnyama?

    Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?. Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu. Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe. Haya sasa Mwezi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

    Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC. Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

    Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta. Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu wa Kiutamaduni namaanisha Mganga wa Kienyeji ) alitusaidia mno kwani tulikoswakoswa zaidi ya mara...
  8. S

    JamiiForums Tanzania AL Ahly ataitoa Simba kwenye AFL Yanga atalipiza kwa kuitoa AL Alhy kwenye CAFCL

    Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini. Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly. Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu. Subirini.
  9. This is...

    JamiiForums Tanzania Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni: 1. Simba asanteni kwa kushiriki. 2. Wakienda Misri watapigwa nyingi. 3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC. 4. Al Ahly wa kawaida sana. 5......... 6......... NB: Uto mko kundi moja...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

    Bingwa - $4,000,000 / Shilingi bilioni 10 Mshindi wa pili - $3,000,000 / Shilingi bilioni 7.5 Kuiingia nusu fainali - $1,700,000 / Shilingi bilioni 4.2 Kila timu itayotolewa mwanzoni - $1,000,000 / Shilingi bilioni 2.5 Chanzo ni CAF wenyewe CAF announces Prize Money for the Inaugural...
  11. Kaghambe

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda na heshima inaenda kudumishwa kwa mkapa

    Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache zilizopata kuanza kwenye AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. na kwa ukubwa zaidi pira linatandikwa hapo kwa mkapa yaani...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wasiojua kandanda, wanawaza Simba inaweza kushinda leo

    Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa Simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wasiojua kandanda nawaza kubwa Simba inaweza kushinda leo

    Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Wanasimba nani anapaswa kuanzisha uzi wa mechi ya kesho?

    Pendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi. Kila la heri Lunyasi
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mimi na Ndugu yangu Gentamycine tunawatakia Simba Ushindi wa Kishindo

    Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe! Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma! Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga Kwa Pamoja tunawatakia Timu ya Simba ushindi mnono hiyo kesho pale kwa Mkapa.Mimi kama shabiki wa mabingwa wa nchi...
  17. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atakuwa mbele ya TV kufuatilia mtanange wa Simba vs Al Ahly

    Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa ujumla. Sababu hii mechi ni moja kati ya mechi chache Duniani itakayofatiliwa na watu wengi zaidi...
  18. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Simba kupanda thamani, maombi ya uwekezaji na ushirikiano kutoka klabu na kampuni kubwa za michezo ni mengi

    Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba...
  19. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally umeshamaliza kila kitu, huna deni kwa mashabiki wa Simba

    Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa. Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako, kilichobaki ni sisi mashabiki kutimiza wajibu wetu kwenye club yetu kubwa Africa mashariki na kati...
  20. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Wadau washauri Hamas na Israel kusimamisha vita kupisha mechi ya Simba Vs Al Ahly Oktoba 20, 2023

    Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote Africa ambalo litakua na ugeni mzito wa Rais wa FIFA, Rais wa CAF pamoja na marais wa vyama vingine...
Back
Top Bottom