Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Simba au Yanga

  • Simba

    Votes: 65 52.0%
  • Yanga

    Votes: 60 48.0%

  • Total voters
    125
  • Poll closed .
Kura za hapa JF zinaweza zisiwe na uhalisia. Kuna mashabiki wa timu mojawapo ambao wana ID zaidi ya kumi kwa mtu mmoja. Hii ina maana mtu mmoja anaweza kuipigia kura timu yake hata mara kumi.
Tutumie njia gani nzuri?
 
Back
Top Bottom