simba

  1. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

    Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Faida alizonazo Simba kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly

    1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara 2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa 3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi 4)Al ahly hawajawahi kumpiga Simba kwa mkapa 5)Simba Yuko home ground na mchezaji wa 12 6)Page ya FIFA kuipost Simba ni...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

    1. Kama katumia miaka Sita (6) kuitafuta Degree yake (isiyoeleweka ) Open University of Tanzania (OUT) kutokana na uhaba wa Akili alionao Kichwani ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 2. Kama kila Redio anayokuweko yeye kutwa ni Kugombana tu na watangazaji wenzake ataacha kuwa Mpuuzi hivi? 3. Kama kuwa...
  5. badison

    JamiiForums Tanzania Ukurasa wa X wa timu ya Simba kuruhusu matangazo ya ngono katika comments

    Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa kumuona mwana Simba SC akipoteza muda wake Kuiangalia Mechi ya Marafiki Wapuuzi na Wanafiki Jumapili wakati imeshakwisha Kitambo tu

    Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC mnajipa Moyo kuwa itafungwa ili tofauti ya Alama iendelee kuwa Kubwa? Nawashauri msipoteze kabisa muda...
  7. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Manula ajaribu mitambo wakati Simba ikimuua Dar City goli nyingi

    ASUBUHI ya Jana Simba imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju - Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1, huku kipa wake Aishi Manula akirejea langoni. Mchezo huo ni wa kwanza kwa Manula msimu huu kwani kabla ya hapo alikuwa nje ya...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 YANGA iliinusuru SIMBA isiteremke daraja

    YANGA YAIBEBA SIMBA ISISHUKE DARAJA 1988 Simba Msimu wa Pili mfululizo kunusurika, bali ushindi wao wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga uliwanusuru ilikua Jumamosi Julai 23, 1988 mwaka huo kwenye Uwanja wa Taifa uliifanya ilinde hadhi yake. Mchezo huo ulikuwa ni wa marudiano wa Ligi Daraja la Kwanza...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Arsene Wenger kuja kuwatizama SIMBA kwa Mkapa

    Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20. Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa FIFA atakuwa sehemu ya watu watakaolitazama pambano la mechi ya Simba SC na Al Ahly ya Misri katika...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania FIFA yaishika pabaya Simba, ratiba ngumu kwa mpambano wao na Al Alhy

    WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na ratiba ya mechi za timu za taifa ilivyo. Hivi sasa ligi nyingi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  13. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tutaje magarasa ya kigeni yaliyosajiliwa na Simba na Yanga kwa miaka ya karibuni

    Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon. Acha kuzubaa, endelea na wewe…
  14. O

    JamiiForums Tanzania Yanga ya Gamondi inavyomtesa Robertinho Simba

    SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa. Ni kweli timu inapata matokeo mazuri uwanjani, lakini haiwafurahishi wanasimba kwa aina ya soka inayocheza...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji?

    Mimi nikiwa kama mpenzi na shabiki wa Simba sports club sifurahishwi na mwenendo wa timu pamoja na matokeo mazuri ya uwanjani. Timu haiko vizuri hatuna beki ukuta unavujisha na upande wa ushambuliaji ni butu. Wapenzi wa mpira wa miguu karibuni nanyi mseme chochote maana mwenzenu nina wasiwasi...
  18. Nominee

    JamiiForums Tanzania Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)? Usipoteze kura yako.
  19. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

    Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu. Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
Back
Top Bottom