simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

    Habari ya muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  5. JamiiForums Tanzania Simba SC yakosolewa kutumia AI

    Uongozi wa Timu ya Simba umekoselewa na mashabiki kufuatia kupost picha iliyotengenezwa na AI. Hii ndio Picha ya AI iliyopostiwa na Ukurasa wa SIMBA SC. HAYA NDIO BAADHI YA MALALAMIKO YA MASHABIKI. Nini maoni yako?
  6. JamiiForums Tanzania Benchikha aendelee kumuamini Onana au anapoteza muda wake?

    Nani anabisha? Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya Benchikha kuhusu usajili Simba

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema ili kumshawishi kuweza kuingia katika kikosi chake akiwemo nyota Moses Phiri. Phiri tangu kuanza...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  10. JamiiForums Tanzania Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  11. JamiiForums Tanzania Kenedy, Kazi, Abel na Mwenda wana kitu; waaminiwe Simba Sc

    Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc. Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la Simba. Jana dogo sambamba na Kenedy Juma wamepiga soka zuri kwa kujiamini. Kuhusu Israel Mwenda...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

    Match Day. Simba Vs APR Msimamo wa Kundi B Ulivyo. Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane. Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali. APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo. Kitu ambacho hakiwezekani. Akipata huo ushindi...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

    Match Day Simba Vs Singida FT FC. Time: 20:15. All the Best Mnyama #nguvumoja# Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa. Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali. Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B. Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
  14. JamiiForums Tanzania UTABIRI: BENCHIKHA hatakula Krismas hapo msimbazi, atajiuzuru ghafla na kuondoka kuelekea kwao kabla ya 25 Dec 2024

    Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake. Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi. Mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC nawashauri muanzishe vyombo vyenu vya habari

    Hapo vipi? Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio... Sababu 1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati. 2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  17. JamiiForums Tanzania Benchikha hataki mzaha kwenye usajili dirisha hili dogo

    Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini wanapoenda sokoni kipindi cha dirisha dogo la usajili kulingana na aina ya wachezaji aliokuwa nao kwa sasa. Kauli hiyo imekuja baada ya mchezo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani. Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kocha wa Simba SC (Benchikha) anasikilizwa sana kuliko makocha wengine waliopita Msimbazi?

    "Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa" Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi. (1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa...
  20. JamiiForums Tanzania FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…