simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Benchikha kuhusu usajili Simba

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema ili kumshawishi kuweza kuingia katika kikosi chake akiwemo nyota Moses Phiri. Phiri tangu kuanza...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kenedy, Kazi, Abel na Mwenda wana kitu; waaminiwe Simba Sc

    Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc. Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la Simba. Jana dogo sambamba na Kenedy Juma wamepiga soka zuri kwa kujiamini. Kuhusu Israel Mwenda...
  6. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

    Match Day. Simba Vs APR Msimamo wa Kundi B Ulivyo. Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane. Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali. APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo. Kitu ambacho hakiwezekani. Akipata huo ushindi...
  7. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

    Match Day Simba Vs Singida FT FC. Time: 20:15. All the Best Mnyama #nguvumoja# Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa. Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali. Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B. Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: BENCHIKHA hatakula Krismas hapo msimbazi, atajiuzuru ghafla na kuondoka kuelekea kwao kabla ya 25 Dec 2024

    Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake. Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi. Mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu...
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba SC nawashauri muanzishe vyombo vyenu vya habari

    Hapo vipi? Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio... Sababu 1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati. 2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja...
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  11. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Benchikha hataki mzaha kwenye usajili dirisha hili dogo

    Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini wanapoenda sokoni kipindi cha dirisha dogo la usajili kulingana na aina ya wachezaji aliokuwa nao kwa sasa. Kauli hiyo imekuja baada ya mchezo wa...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani. Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kwanini kocha wa Simba SC (Benchikha) anasikilizwa sana kuliko makocha wengine waliopita Msimbazi?

    "Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa" Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi. (1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa limefanyika kumrithisha Benchikha migogoro ya zamani

    Ujio wa Kocha Benchikha pale Simba ulitakiwa uambatane na kufungua ukurasa mpya wa mashirikiano kwa kila mmoja pale Simba hasa kati ya wachezaji na viongozi achilia mbali mahusiano kati ya viongozi kwa viongozi. Baadhi ambao tunajua jinsi migogoro ndani ya taasisi hizi za waswahili zinavyokuwa...
  16. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

    Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
  19. baba aura

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Benchikha ni hasara kama usajili wa Onana

    Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha kuja Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa Hakika hii ni hasara kubwa kabisa ngoja tuone
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ufundi, Benchikha inabidi awafundishe wachezaji ujanja wa kimpira

    Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake. Simba imesogea pakubwa sana katika mpira wa Afrika. Leo hii hakuna anayeshangaa tena Simba akimfunga...
Back
Top Bottom