Kwanini kocha wa Simba SC (Benchikha) anasikilizwa sana kuliko makocha wengine waliopita Msimbazi?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"

Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.

(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa Benchikha?

Ikumbukwe tu kocha Robertinho Alishawahi kumfanyia Sub Mchezaji Chama, ziliibuka Kelele nyingi sana kuanzia kwa mashabiki mpaka Viongozi wa timu walipiga Kelele Sana kwa Nini Chama atolewe.

Siyo hivyo tu mwalimu kocha Mark Zolan pia alikutwa na chanagamoto hiyo alipotua msimbazi, na yeye pia aliona Chama hafit katika mfumo wake hiyo ilipelekea kuleta makelele kwa nini Chama akae Benchi.

Ujio wa Kocha Benchikha imekua tofauti misimamo yake imekubalika kwa Viongozi wa timu husika na Chama anafanyiwa sub hakuna Kelele/ anaanzia benchi hakuna anayeleta Kelele.

NALIA NGWENA nimepenyezewa za chini chini kuwa Kocha kaletwa na tajiri/bosi Kama boss na ndiyo maana hakuna wakuleta ng'a! Wala ng'e!

Kwa tathimini hiyo ndogo unagundua kabisa kumbe walimu waliopita hawana makosa Bali wenye shida ni viongozi wa timu, hao ndiyo walimpangia kocha nini Cha kufanya na mchezaji gani acheze/apangwe katika mechi husika.

Kwangu mimi Mark Zolan na Robertinho ni walimu wazuri Ila waliangushwa na ujanja ujanja wa viongozi kwa kuwaingilia majukumu yao katika utendaji wa kazi, Hata wao Kama wangepewa Uhuru Kama huo anaopewa Benchikha sidhani Kama ungeibuka mgogoro Pale msimbazi.
 
Mangungo au tr again kwenye kikao wakimletea benchika za kuleta watakula nakoz za kutosha wallah, mm sio simba ila nimetokea kumkubali benchika, anaonekana kwenye suala la kazi hataki utani kabisa.
 
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"

Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.

(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa Benchikha?

Ikumbukwe tu kocha Robertinho Alishawahi kumfanyia Sub Mchezaji Chama, ziliibuka Kelele nyingi sana kuanzia kwa mashabiki mpaka Viongozi wa timu walipiga Kelele Sana kwa Nini Chama atolewe.

Siyo hivyo tu mwalimu kocha Mark Zolan pia alikutwa na chanagamoto hiyo alipotua msimbazi, na yeye pia aliona Chama hafit katika mfumo wake hiyo ilipelekea kuleta makelele kwa nini Chama akae Benchi.

Ujio wa Kocha Benchikha imekua tofauti misimamo yake imekubalika kwa Viongozi wa timu husika na Chama anafanyiwa sub hakuna Kelele/ anaanzia benchi hakuna anayeleta Kelele.

NALIA NGWENA nimepenyezewa za chini chini kuwa Kocha kaletwa na tajiri/bosi Kama boss na ndiyo maana hakuna wakuleta ng'a! Wala ng'e!

Kwa tathimini hiyo ndogo unagundua kabisa kumbe walimu waliopita hawana makosa Bali wenye shida ni viongozi wa timu, hao ndiyo walimpangia kocha nini Cha kufanya na mchezaji gani acheze/apangwe katika mechi husika.

Kwangu mimi Mark Zolan na Robertinho ni walimu wazuri Ila waliangushwa na ujanja ujanja wa viongozi kwa kuwaingilia majukumu yao katika utendaji wa kazi, Hata wao Kama wangepewa Uhuru Kama huo anaopewa Benchikha sidhani Kama ungeibuka mgogoro Pale msimbazi.
Asante kwa taarifa 👍
 
Kama alikuja na kuondoka ....dau lake nono mno .....deak ame close Mwamed mwenyewe....anakula 30k $....kocha bora kabisa wanepata mwenye taji meaka jana tu....yuko classy juu ....wamefokewa kuwa sasa wanataka nini kila kocha mbaya ? Wampe uhuru woote autakaooo
 
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"

Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.

(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa Benchikha?

Ikumbukwe tu kocha Robertinho Alishawahi kumfanyia Sub Mchezaji Chama, ziliibuka Kelele nyingi sana kuanzia kwa mashabiki mpaka Viongozi wa timu walipiga Kelele Sana kwa Nini Chama atolewe.

Siyo hivyo tu mwalimu kocha Mark Zolan pia alikutwa na chanagamoto hiyo alipotua msimbazi, na yeye pia aliona Chama hafit katika mfumo wake hiyo ilipelekea kuleta makelele kwa nini Chama akae Benchi.

Ujio wa Kocha Benchikha imekua tofauti misimamo yake imekubalika kwa Viongozi wa timu husika na Chama anafanyiwa sub hakuna Kelele/ anaanzia benchi hakuna anayeleta Kelele.

NALIA NGWENA nimepenyezewa za chini chini kuwa Kocha kaletwa na tajiri/bosi Kama boss na ndiyo maana hakuna wakuleta ng'a! Wala ng'e!

Kwa tathimini hiyo ndogo unagundua kabisa kumbe walimu waliopita hawana makosa Bali wenye shida ni viongozi wa timu, hao ndiyo walimpangia kocha nini Cha kufanya na mchezaji gani acheze/apangwe katika mechi husika.

Kwangu mimi Mark Zolan na Robertinho ni walimu wazuri Ila waliangushwa na ujanja ujanja wa viongozi kwa kuwaingilia majukumu yao katika utendaji wa kazi, Hata wao Kama wangepewa Uhuru Kama huo anaopewa Benchikha sidhani Kama ungeibuka mgogoro Pale msimbazi.
Wanambembeleza zile 5g zisijirudie. Subiri wapigwe mkono tena kama utasikia hizo kauli.
 
Back
Top Bottom