simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Wanasimba na Benchikha sasa ni damu damu

    Kutokana falsafa yake wakati anaiongoza RS Berkane, USM Alger(Timu pekee nilizomfuatilia) nilikua na ukakasi wa mapokezi ya falsafa ya Benchikha kwa wanasimba. Lakini niweke wazi, Once facts change, I change too. Japo ni mapema kuyasema haya, lakini wahenga mnasema nyota njema huonekana...
  2. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kocha Benchikha ana kitu Kama asipoingiliwa kwenye majukumu yake Basi tutegemee makubwa katika Simba SC

    Ndiyo! Waswahili Wanasema "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" Nimetazama mechi mbili za Simba sc kwenye michuano ya CAF haswa mechi ya Jwaneng Galaxy na Wydad nimeona mabadiliko makubwa sana kwa wachezaji. 1/spirit ya kupambana hii nimeiona katika mechi ya Wydad Simba wamecheza mpira Kama wapo...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tujipange na droo nyingine kutoka Simba!

    Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana. Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw. Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana. All the best Simba SC.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech. Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba

    Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane. Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kocha Benchikha Abdelhak Simba ni Injini ya FUSO kwenye Bajaj

    Je, uongozi, wachezaji, utajiri na mipango ya Simba inaweza kuvuna mipango, ubora na mahitaji ya kocha Benchikha Abdelhak? Mangungu anaweza kukubali kuacha ulozi na kukumbatia sayansi ya mpira? wanaweza kusajili wachezaji atakaowataka kocha huyu ili alete matokeo kama ya timu alizotoka? Vikosi...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa Benchikha, Simba imeonyesha jeuri ya pesa sasa tunasubiri tuione pia kwa wachezaji wapya

    Ujio wa Kocha Benchikha katika Simba kipindi hiki unadhihirisha kuwa Simba ina jeuri ya pesa ya kumleta kocha au mchezaji yoyote inayemtaka kutoka ardhi hii ya Africa. Kama tumeweza kumleta kocha mwenye profile kubwa hivi aliyetoka kushinda mataji mawili kati ya matatu makubwa Africa kwa level...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba, Benchikha Kama anataka atoboe Asikubali kufanya kazi na Cadena kocha wa makipa. Amuulize Kali Ongala

    Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu makipa na kuwachosha. Toka aje simba makipa wanachoka siku baada ya siku. Alipokuwa Azam bwana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

    Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

    Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

    Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeria aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na...
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ismael sawadogo kuishitaki Simba SC FIFA

    Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake. Klabu ya Simba iliuvunja mkataba wa kiungo huyo na bado anadai stahiki zake za kimkataba.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya Viongozi wa Simba SC ingekuwa imara ingeshalijua hili mapema na kuliwahi

    ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile viongozi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

    Hakuna kununua Tiketi wala kwenda Uwanjani kesho na huko kwa Mkapa watajaza Familia za akina Try Again, Mangungu, Mo Dewji na Wachezaji Wanafiki Watatu wanaoneza migomo ya kichinichini na Timu kufanya vibaya akina Chama, Ntibanzokinza na Inonga. Mashabiki wa Simba SC heko mno.
  16. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

    Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia. Sasa bhana hii ni short...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

    1. Inonga 2. Chama 3. Kapombe Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao kwa wanaojiandaa kwenda Uwanjani Uhuru Stadium wanasema wanaenda Kuwatia Adabu ( Kuwaadhibu )...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

    Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
Back
Top Bottom