silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ripoti: Marekani na China vinara wa Soko la Silaha. UAE yaingia kwenye top 25 kwa mara ya kwanza

    Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
  2. C

    Jamaa hawana mpangokazi, hawajui silaha za kutumia, wala hawana hema la majeruhi?

    Wakuu nawasalimu. Kitu kilichotokea kwa akina Halima Mdee siyo cha kushangaza. Ni mwendelezo wa matukio mengi tu ambayo yamekuwa kawaida siku hizi. Watu wanaotumia muda kufikiri, wakiwemo pia ndani ya CCM wanajua kinachoendcelea. Unawezaje kuwalaumu akina Mdee? Ukitaka kutoa lawama kwa hawa...
  3. Wafungwa waliompora silaha Askari, kumjeruhi wakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewakamata wafungwa wanne wanaodaiwa kutoroka baada ya kumshambulia kwa mapanga na kumjeruhi mwilini mlinzi, Askari Magereza na kumpora silaha. Wafungwa hao wanadaiwa kumpora bunduki aina ya Uzi-gun yenye namba TZPS 5570-062974 Sajeni Feedolin Madembwe...
  4. Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  5. Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

    Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake. Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
  6. S

    Majeshi ya nchi za Kiafrika ni bure kabisa. Wanachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha na sio kulinda mipaka ya nchi zao

    Kinachoendelea huko Msumbiji ni ushahidi mwingine wa jinsi Majeshi mengi katika nchi za kafrika yalivyo dhaifu katika kulinda mipaka kama tunavyoona pia katika nchi nyingine za Kiafrika kama Nigeria ambako vikundi vya kigaidi vinasumbua Majeshi katika nchi hizi. Uwezo wa Majeshi mengi ya nchi...
  7. Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

    Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
  8. Vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vyafikia tamati leo

    Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake. Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
  9. Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

    Wakuu, Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha. Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani. Kombora...
  10. D

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  11. Nguvu ya upendo haina ni ya ajabu , upendo unashinda vita hata mpinzani wako awe na silaha zenye nguvu kupita zote

    Upendo ni asili ya mtu mweusi, hata wakoloni walipofika Afrika walishangaa kuona upendo mkubwa katika jamii yetu. Mjane wa kaka alitafutiwa mume katika ukoo ule wa mune wake ili watoto walelewe kwenye ukoo na wasipate shida. Mgonjwa aliyeshindwa kulima familia yake ilikula bila wasiwasi...
  12. Mfalme Wa Saudia Atoa Wito Hezbollah Wanyang'anywe Silaha

    Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly. Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!
  13. Tabia ya kutofuata miiko ya matumizi ya silaha, Aliyoyafanya "Ukiwaona" almanusura nifanyiwe mimi

    Salamu na Utangulizi Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
  14. Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
  15. Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  16. Zawadi ni Silaha ya Maisha

    ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
  17. Silaha muhimu kwa ajili ya ulinzi au uangamivu wa mwanadamu

    Uzoefu unanifundisha kuwa maumivu mengi tunayokutana nayo hapa Duniani yanatokana na sisi wenyewe kushindwa kuwajibika katika maisha yetu " living active life". Leo tumefikia hatua ya kushindwa kabisa kujitofautisha na matatizo na kufikiri sisi wenyewe ndiyo matatizo jambo ambalo siyo sahihi...
  18. Mzee wake ndiye aliyempa zawadi ya muhimu kuliko zote, ndiyo silaha yake kwa sasa

    Jana nilikutana na class mate wa utotoni. Tuliachana tukiwa shule ya msingi, mzee wao alistaafu walirudi kwao huko mikoa ya Bara. Huyu rafiki alikuwa mmoja wa vipanga darasani na aliitendea haki akili yake. Ana nafasi nzuri sana huko aliko. Katika maisha yake binti aliyemuoa alitoka famila ya...
  19. Soviet Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death)

    Soviet Union Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death) UTANGULIZI ===== Mnamo mwaka 1969 bwana Markov akaondoka kutoka nchini Bulgaria akahamia nchi za magharibi. Kwanza alianzia Italy kisha akaweka makazi yake...
  20. Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…