silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu 700 waliovamia Hifadhi waondolewa, silaha zakamatwa, mashtaka yafunguliwa

    Watu zaidi ya 700 waliovamia Msitu wa Hifadhi ya Mgodi uliopo wilayani Singida wameondolewa huku silaha mbalimbali zikikamatwa na miongoni mwao wamefunguliwa mashtaka. Kamanda wa kikosi kasi kilichoundwa kuwaondoa wavamizi hao, Tumaini Membi alisema shughuli ya kuwaondoa wavamizi hao ilifuata...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaiomba Ujerumani silaha za kujilinda dhidi ya Urusi

    Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti. Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche Zeitung, ubalozi wa Ukraine umeiomba Berlin kutoa jibu la haraka, kutokana na hali tete ya kiusalama...
  3. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita havijaribiwi, Ila silaha zinajaribiwa

    VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA. Anaandika, Robert Heriel. Vita ni sumu. Sumu haionjwi. Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji. Vita havijaribiwi, ukivi-beep vinakupigia pasipo tafadhali. Maisha ni vita, maisha hatajaribiwi, maisha hayachezewi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamati za ulinzi na usalama mnawaonea walionunua silaha

    Kumiliki silaha ni jambo ambalo linahitaji mchakato makini hasa katika nchi yetu. Pamoja na umakini huo bado nashindwa kuelewa inakuwaje kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa iskae kujadili waomba umiliki wa silaha kwa zaidi ya miaka minne.Watu wanaopewa nyadhifa kubwa security vetting inafanyika...
  6. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu. Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR. Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

    Habari! Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika. Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti. Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3. Imefika...
  10. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  11. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

    #ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata. Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanga: Kiwanda bubu cha silaha chabainishwa

    Msako wa polisi wanasa kiwanda bubu cha silaha KIWANDA cha kutengenezea bunduki za kienyeji aina ya gobore kimegundulika baada ya msako mkali kuendeshwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja anayehusika na kutengeneza vifaa hivyo pamoja na bastola aina ya Trurus...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  14. La Quica

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

    Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

    Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Majambazi hawana uwezo, wangekuwa wanaona silaha na mafunzo mlionayo wasingethubutu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka Askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao ili kuweza kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu pamoja na vitendo vingine vya uvunjifu wa amani vinavyojitokeza kwenye jamii. IGP Sirro amesema hayo leo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Mark Zuckerberg mmiliki wa FB Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa North Korea (NK) aiambia UN hakuna wa kuinyima NK haki ya kutest makombora, wakati huo huo (wa speech) NK yafanya jaribio jipya la kombora

    South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
Back
Top Bottom