silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

    #ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata. Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanga: Kiwanda bubu cha silaha chabainishwa

    Msako wa polisi wanasa kiwanda bubu cha silaha KIWANDA cha kutengenezea bunduki za kienyeji aina ya gobore kimegundulika baada ya msako mkali kuendeshwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja anayehusika na kutengeneza vifaa hivyo pamoja na bastola aina ya Trurus...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  4. La Quica

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

    Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

    Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Majambazi hawana uwezo, wangekuwa wanaona silaha na mafunzo mlionayo wasingethubutu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka Askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao ili kuweza kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu pamoja na vitendo vingine vya uvunjifu wa amani vinavyojitokeza kwenye jamii. IGP Sirro amesema hayo leo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  9. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Mark Zuckerberg mmiliki wa FB Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa North Korea (NK) aiambia UN hakuna wa kuinyima NK haki ya kutest makombora, wakati huo huo (wa speech) NK yafanya jaribio jipya la kombora

    South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
  11. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Pale mfumo wa silaha hatari unapoungana na dawa

    Dunia imeharibika sana. Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4. Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko. Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua...
  12. Chorter

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018. Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

    Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda alipowambia laleni na silaha hamkumuelewa?

    Nimepata maono ya kiuhakika kabisa ni pale kamanda mmoja wa jeshi la polisi alipowaeleza wananchi kuwa inakuwaje mtu unalala nyumbani kwako unakosa hata panga. Sasa nafahamu alishanusa harufu mbaya na kwamba sasa ni wakati wa ubaya ubaya kufa au kupona kila mtu ajilinde kivyake,akimaanisha...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mfanyabiashara Salehe Alamri kumiliki silaha kinyume na sheria yapigwa kalenda hadi September 28, 2021

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi wilayani Babati mkoani Manyara . Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa Jana na hakimu wa mahakama hiyo,Kimario hadi September 28 mwaka...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Yawezekana siyo Gaidi au Jambazi, Silaha za kivita alijulia wapi?

    Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
  18. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Mzembe, mvivu huona kila kitu anaonewa kwake kulalamika ndio silaha kuu na huyu ndo Mtanzania

    Ndugu Leo tuongee kidogo kuhusu maisha yetu halisi hapa tujiseme, tujitukane hii italeta taswira mpya kamasio sisi basi hata uzao wetu huenda ukawa Bora. Sisi n hatupendi kufanya kazi lakini tunataka tuwe napesa mfukoni je tutazipata vipi bila kufanya kazi tena sio kufanya kazi tuu bali n kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Tuhuma za Ugaidi ni silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa

    Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya...
Back
Top Bottom