siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa chini kabisa, msichana/mwanamke mzuri anatongozwa mara 2 kila siku; kwa mwaka mara 730. Halafu unadhani wewe ndio umemgundua umtongoze?

    Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na lab technician hospitali ambaye ndio ametoka chuo na bado hajachoka kazi ya kukoroga koroga pupu na susu kila siku

  5. venchwa

    JamiiForums Tanzania Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

    Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi, Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi Let say unapata 20,000$ monthly Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$ Pili wazazi au walezi. 500$...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Updates : Yanayojiri Sabasaba siku ya leo

    Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa. Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa alijaribu naye kukaribisha watu waende sabasaba. Lakini watu wamemgomea naye maana wanajua hana lolote...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia za kuunganisha kesi na mkakosa kesi kwa mnaokamata bila ushaidi mwisho wa siku mnabaki kama hamkumbuki.

    Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM. Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila wamekamatwa nchi nyengine na wala sio kwa porojo ambazo hii tabia imekuwa ikitumika polisi. Watu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
  13. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Wananchi wataanza kuchukua Silaha za Askari kwa kuwadhania ni wanamgambo wa Mwaipopo

    Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa. Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

    Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta. Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza. Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal. Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana...
  16. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Njoo Nikuandikie Tangazo Na Wewe Mapato Yaongezeke Asilimia 102% Ndani Ya Siku 92

    Sio kwa ajili ya kila mtu. Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama. Kama unahangaika kupata wateja online. Umetengeneza video yako. Umeandika caption. Umeweka pesa nyingi kwenye tangazo. Na matokeo bado ni hola. Huu ujumbe unakuhusu. Miezi mitatu iliyopita kuna mteja...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Leo Shoboka kakataa kufua boxer, iko siku atatamani kumiliki dildo

    Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa. Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

    Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Lucas tulisha kwambia CCM wakishakutumia siku ukiguswa ndio utajua lugha moja

    Huyu jamaa kama angekuwa kitengo cha uchawa front tunge koma. kwa sasa kama kajitenga.
Back
Top Bottom