Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana.
Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo:
Mungu Ibariki Tanzania.
Wauguzi Wasitisha
Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG).
Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
Ndugu zangu..
Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..
I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.
I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha.
Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya...
Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima.
Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe.
Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari.
https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake.
Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi.
Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi
Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
Hii imekuwa hali ya kawaida Umeme kukatika mara kwa mara.
Mi huwa najiuliza sana...???
Wanaweza amua wakakata umeme kila siku.Haijawahi pita Week nzima bila umeme kukatika.
Sasa kama Inchi inazalisha umeme mwingi mpaka wa ziada sa inakuweje kuishi kwenye janga la umeme Kiasi hiki kila siku.
AFYA DHAIFU
UZEE
AJALI
KUULIWA
KUJIUA
AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY
hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita.
Hakuna aliepangiwa siku ya kufa, hakuna cha umependwa sana ndio maana umeenda, hakuna cha kuwa umelaaniwa sasa...
Mwaka 1985, kampuni yenye brand inayotambulika kuliko viongozi wengi wa dunia ilifanya jambo lisiloaminika.
Iliua bidhaa yake yenyewe!.
Si kwa sababu ilikuwa imefilisika wala si kwa sababu ilikuwa imepoteza soko, bali kupitia mshindani wake bwana pepsi aliyekua akiwaambia wanywaji wa Coke kwa...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026
SEHEMU YA PILI
Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
[Majaji wanaingia Mahakamani.]
[Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.]
WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...
Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff.
""INAITWA CHENGA YA MWILI""
Namshukuru Mungu nimeamka salama na tayari kwa majukumu ya siku mpya.
Nawatakia siku njema na yenye mafanikio. Kama unapitia changamoto yoyote, iwe afya, uchumi, familia au vinginevyo, Basi, Mungu wa mbinguni akukumbuke katika hitaji lako.
Yeremia 29:11
Siku njema,,!
Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya.
Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.