siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Maadhimisho ya siku ya Choo Duniani: Watu bilioni 4.2 hawana huduma nzuri za vyoo

    World Toilet Day celebrates toilets and raises awareness of the 4.2 billion people living without access to safely managed sanitation. It is about taking action to tackle the global sanitation crisis and achieve Sustainable Development Goal 6: water and sanitation for all by 2030. This...
  2. Hili la siku ya wanaume duniani kuingiliana na siku ya maadhimisho ya Choo imekaaje?

    Leo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo. Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo. Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi. =============...
  3. Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  4. Tuzo za AFRIMMA ni utopolo mkubwa siku hizi

    Hizi tuzo mwanzo zilikuwa na ushawishi sana kipindi hicho. Kiasi kwamba ukichukua tuzo ya AFRIMMA ni heshima kubwa lakini kwa sasa baada ya wanaija kuona watu wamezipuuzia wakaanza kuvuta attention kwa kuwa nominate wasanii wetu utopolo wa East Africa. Ili kurudisha hamasa ya kama mwanzo...
  5. Zawadi ya ujuzi: Tutumie siku nne kuunda wavuti, isiyo zidi page tano

    Weka design katika mchoro au picha kisha tutaendelea. Mwisho wa siku kuna mtu atapata kitu fulani hapa. Kwanini nataka wewe ndio uweke design nataka nitumie muda mfupi website hii itakuwa ni multi-page. Wiki ijayo sitakuwa JF kwa muda mrefu kidogo nataka niwaache na zawadi wale watakao taka...
  6. Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

    Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi ===== Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ Khalfan Junedi aliyedaiwa kuuawa wiki tatu zilizopita eneo la Ngwachani Wilaya...
  7. Novemba 16 Siku ya Kimataifa ya Uvumilivu (ustahimilivu)

    International Day for Tolerance is marked on November 16. As the name suggests, the day is observed to build tolerance among the cultures and people. The day was started by the United Nations General Assembly. The main aim behind starting this day was to make educational institutions and people...
  8. F

    Kuna wasichana ni vigeugeu siku hizi?

    Habari JF mapenzi. Nimewahi kwenda sehemu fulani kwa kazi ya shirika lisilo la kiserikali. Tulianza kuongea na vijana takribani 200 huku Kati yao wasichana ni 130. Mbele alikaa mrembo fulani na kuonesha ishara zote ananipenda. Mara aniangalie kwa pozi la mapenzi huku nkiongea, mara arembue...
  9. Kenya yajenga Hospitali yenye vitanda 100 ndani ya siku 90 - yajayo yanaafurahisha

    Jameni kwa mwendo huu sijui tutaibukia wapi maana kila nikifumba na kufumbua macho nakumbana na bonge la muundo mbinu unazinduliwa, imekuwa vigumu kufuatilia kipi kinajengwa wapi, nchi yote mambo yanatamalaki, sema vyombo vyetu vya habari vinatuangusha sana, hawakai waandike mazuri ya nchi, kila...
  10. Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox. Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF). 1. Standalone ATF 2. Universal ATF Hebu tunagalie moja baada ya nyingine. Universal ATF Hizi ni zile ATF ambazo kopo lake linaandikwa msururu wa magari ambayo hiyo ATF inaweza...
  11. Nina ukame tatizo ni domo zege hata barmaid siwezi kutongoza

    Naomba mnisaidie jamani, nisije baka Uzi tayari
  12. Zikiwa zimebaki siku 50 Mwaka kuisha, hii ni tathmini ya matumizi yangu kwa mwaka 2020.

    Mwaka 2020 ndiyo unaelekea mwishoni, huku zikiwa zimebaki siku 50 kuisha. Watanzania hatuna mazoea ya kuandaa bajeti zetu binafsi, lakini ni tool muhimu sana kwenye maisha yetu hasa unapotaka kuona maeneo ya kupunguza matumizi kama sio ya lazima Hapa chini nimefanya tathmini ya matumizi ambayo...
  13. J

    Sababu za Mtoto kuzaliwa Njiti

    Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani. Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
  14. J

    Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  15. Ifahamu siku ya uapisho wa Rais nchini Tanzania na maana ya ishara zinazoambatana na matukio wakati wa uapisho

    IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi. ✍🏽Burudani. KULA KIAPO. Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
  16. Siku ya kukuza Uelewa wa Tsunami duniani

    Novemba 5, Umoja wa Mataifa (UN) huadhimisha siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa wa janga la Tsunami. Tsunami hutokea mara chache, wanaona hiyo haiondoi sababu ya dunia kujiandaa kwa janga hilo. Kwa mwaka 2020, UN inatumia siku hii kuzifanya nchi na jamii kuwa na mpango mkakati wa kupunguza...
  17. UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
  18. Matangazo ya BBC Swahili na Sauti ya Ujerumani mbona siyapati siku hizi kwenye Redio

    Niaje. Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au? Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
  19. Siku ukiona Mwajiri anaomba Msamaha kwa Mwajiriwa Tambua Adhabu inapande Mbili

    Wakuu, Kama mada inavyotanabahanisha, nchi yetu ya Tanzania ina wananchi na wageni wote wanalipa kodi zote stahiki ijapokuwa wanaweza wasitambue kwamba walipa kodi hizo. Ilikupambana na maadui watatu tuliowarithi kutoka ukoloni ni watatu ijapokuwa wapo walioongezeka baada ya kupewa hati ya...
  20. GE2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote. Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…