Mafataki yanayopigwa kila siku na Ubalozi wa Marekani ni kero

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,645
Wagwaniiii

Ebhana serikali mbona inafumbia macho hawa jamaa wa ubalozi wa Marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwingne milio kama ya bunduki.

Hii ni kero kwa wananchi bhana kuna wagonjwa bhana mitaani huku mnazingua aisee.
 
Wagwaniiii
ebhana serikali mbna inafumbia macho hawa jamaa wa ubaloz wa marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwngne milio kama ya bunduki
hii ni kero kwa wananchi bhna kuna wagonjwa bhna mitaani huku mnazngua aisee
Takbiiir tuvumiliane tu Sheikh wagalatia nao wakinyanyuka kuwa wanakereka na zile zile kelele za Masjidi itakua aibu kubwa Sheikh.
 
Wagwaniiii
ebhana serikali mbna inafumbia macho hawa jamaa wa ubaloz wa marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwngne milio kama ya bunduki
hii ni kero kwa wananchi bhna kuna wagonjwa bhna mitaani huku mnazngua aisee
Ubalozi ni nchi nyingine kabisaaa bwasheee .....

Majirani wa hapo...Regency,Migombani Street,bonde la mpunga wajue/watambue kuwa wanaishi mpakani....jirani zao hao ni nchi nyingine....daah sasa sijui wagonjwa watalielewa hilo ?!!

Ndio hivyo mkuu.....
 
Ilibd watoe matangazo kuzunguka maeneo ya jiran kutaarfu ujio wa hzo kelele labda week 1/2 kabla Lkn mnaweza peleka 'maombi' kuwaomba wapunguze/wasitishe hzo shughuli(japo ni vgumu)
 
Ilibd watoe matangazo kuzunguka maeneo ya jiran kutaarfu ujio wa hzo kelele labda week 1/2 kabla Lkn mnaweza peleka 'taarifa' kuwaomba wapunguze/wasitishe hzo shughuli(japo ni vgumu)
Mkuu kwani kule upande wa Rwanda karibu na mpaka wetu wakipiga fataki huwa wanatuambia?!!! 🤣

Hapo "Drive Inn" kukaa nao jirani hakuondoi kuwa pale ni nchi baki.....ndio hivyo mkuu wangu.....
 
Mkuu kwani kule upande wa Rwanda karibu na mpaka wetu wakipiga fataki huwa wanatuambia?!!! 🤣

Hapo "Drive Inn" kukaa nao jirani hakuondoi kuwa pale ni nchi baki.....ndio hivyo mkuu wangu.....
Wanatumiana ujumbe boss wangu, kuptia wizara za Mambo ya nje(diplomatic channels)
 
Back
Top Bottom