siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Leo ni siku ya Kuzaliwa Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola

    Happy birthday Selemani Matola
  2. Leo ni siku ya vitabu ulimwenguni

    LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1 "The School Trip to Zanzibar" Mwandishi Mohamed Said Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar. Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila...
  3. U

    MwanaMfalme Louis atimiza umri wa miaka 3, aanza Shule Rasmi

    The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school. The photograph was taken at Kensington Palace by the duchess, shortly before Louis set off for Willcocks Nursery School for the first time on...
  4. Kila siku jioni ikifika nakwenda kushuhia hii kitu baridii, maalumu kwa kanda yetu

    Unapata supu la sato na ugali muhogo au supu la kuku na ugali muhogo kisha unashushia. Hili kitu nina likubali ni mahusui kwa kanda yetu. Likiwa la baridi linapanda kibabe.
  5. J

    Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  6. M

    Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
  7. Hitimisho: Wale wote waliopotea awamu ya 5 na hawakuonekana hadi sasa, waliuawa ama tuendelee kuamini kwamba wako hai ipo siku watarudi?

    Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa Kigoma , Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi na wengine wengi waliopotea kwenye mazingira ya...
  8. B

    Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
  9. Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  10. Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
  11. U

    Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  12. M

    Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  13. Masimulizi kamilifu ya alfu lela u lela au siku elfu moja na moja

    KITABU CHA KWANZA. Tafadhali pakua faili lililoambatanishwa kwenye uzi huu likiwa kwenye mfumo wa PDF
  14. J

    Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder. Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na...
  15. Hisia za mapenzi hamna siku hizi kwa sababu ya hizi smartphone

    Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy. Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X...
  16. Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania? Akina...
  17. T

    Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  18. Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  19. Kwanini wanawake na wasichana wanapenda sana kutoboa pua na kuvaa vipini siku hizi?

    Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
  20. M

    Natamani sana Siku moja Rais Samia Suluhu nae azisikie hizi nyimbo za Singeli na 'Matusi' yao kisha amalizane rasmi na BASATA

    Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia. Maudhui ya Kimatusi ya Msanii A "Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake " Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…