Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

Boss from Street

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
686
1,000
Kwa matajiri tu 70% mkuu hii tabia ipo na ni kwa vitoto vinavyokua sasa hivi kwa baba yao vina uzungu mwingi, dharau kwa wanaume, hawataki kuolewa wanataka wapate Mr. Right.

Mtoto ni wako umekaa sitting room kavaa bikini inaonekana au yuko nusu uchi afu anakunywa wine eti cheers dady huku anakuhug hey dady, ukikagua toto linafanana na mama yake copyright wewe huna hata chembe naye lakini ni wako, shetani anapiga honi 😉😉

Sasa kuna mibaba inawaendekeza watoto uzungu binti yuko 30 hana mume.

Hapo kulana kwa mtoto na baba ipo sana tena sana kwa taarifa yako sasa wababa ndio wanawaendekeza hawa watoto ubaby dady.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,419
2,000
kwa matajiri tu 70% mkuu hii tabia ipo na ni kwa vitoto vinavyokua sasa hivi kwa baba yao vina uzungu mwingi, dharau kwa wanaume, hawataki kuolewa wanataka wapate Mr. Right.

mtoto ni wako umekaa sitting room kavaa bikini inaonekana au yuko nusu uchi afu anakunywa wine eti cheers dady huku anakuhug hey dady, ukikagua toto linafanana na mama yake copyright wewe huna hata chembe naye lakini ni wako, shetani anapiga honi 😉😉

sasa kuna mibaba inawaendekeza watoto uzungu binti yuko 30 hana mume.

hapo kulana kwa mtoto na baba ipo sana tena sana kwa taarifa yako sasa wababa ndio wanawaendekeza hawa watoto ubaby dady. fucken globalization in africa.
Hamna kitu Kama hicho mkuu Ni story za kwenye kahawa tu,..baba mzazi na binti hakunaga kibongo bongo
 

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,600
2,000
kwa nyie mlifundwa kwa mila na desturi toka kanda zenu iyo kitu huko ni 0.001% lakini huku kwetu ni uhakika not less than 39.99% wana mapenzi ya ubaby dady those goes to school na pia they jogging together, wake up together at AM oclock.
Kuna mtu amekuambia kuandika Kiingeleza ndiyo kujibu swali.

Dar kuna watu zaidi ya milioni sita, asilimia 30 ya milioni sita ni 1.8, Unataka kusema wababa milioni moja na laki nane Dar wanafanya mapenzi na mabinti zao?

Au unaongea ongea tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom