siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  2. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Iheshimiwe Jan 21, 2025. Wamejifunza. Tuwaamini?

    Heri ya Christmas wakuu. Kuna Flyer nimeiona ya Ndg Nchemba, akitoa salamu za Christmas. Lakini pia anasema "WAMEJIFUNZA". Wamejifunza nini? Imekuwaje wamejifunza? Kuna line moja ya Tupac, inasema "I will not change the world, but I guarantee that I will spark the brain that will change the...
  3. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache yule jamaa aanze kuwaambia kuwa mnaharibu pesa kupeleka watoto wenu english mediums

    "mimi watoto wangu wote wanasoma asante mkapa., hizi EMs ni utapeli."
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa Siku 7 kwa TANROADS, TARURA Lindi, ataka watengeneze kwa haraka daraja la dharura lililoanza kutitia

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea. Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
  8. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Bado siku 4 kufika D25!!!

    📌 #D25 🇹🇿 #SAMIAMUSTGO #riseupTanzania #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa 🇹🇿🫂🇺🇬🇿🇦
  9. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapolisi wanakufa sana siku hizi?

    Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu. Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter au hata facebook ndani ya dakika mbili lazima ukutane na post ya msiba wa aliyekuwa askari polisi au...
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siku nilidobanga kwa mwanamke

    Mwaka 2000 nilikuwa namtongoza dada mmoja, alikuwa katibu mkuu wa wizara fulani, nilikuwa namtaka mno. Sasa nikamtumia sms ya kumsalimia, badala ya kuandika hujambo? nikamuandikia hujambi?Aisee nikapokea jibu kuwa, najamba. Duh kuja kuangalia ile meseji yangu nilisikia aibu, but nilifanikiwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

    Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sitosahau: Siku niliyosingiziwa natembea na mtoto wa darasa la sita, yaani mbakaji

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma vikakununulie bidhaa Basi siku hiyo nilikuwa nimetoka kuzindua duka langu jipya, mida kama ya saa moja...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  20. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

    Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo. Ama sikukuu yoyote ile ya kidini. Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji. Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Back
Top Bottom