Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini.
Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu.
Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa.
Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya.
Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala.
Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu.
Hawa ni kutoka kule na siwezi kuonesha IP ila inatoka mlipo mleta na ndege yenu kuwa urafiki mzuri.
Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI .
Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI.
kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026.
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa...
Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
"Mama Manyema" anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa!
1. Hana fremu wala kizimba!
2. Hajapima afya kama miongozo ya afya wala hakaguliwi.
3. Haijulikani anapopikia kwakuwa huleta chakula kwa kirikuu na toroli/guta toka Temeke Sudani!
4. Mama hatoi risiti wala hana leseni ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani, ambapo kitaifa yanafanyika leo Juni 5, 2026 jijini Dodoma katika...
Leo imeisha hivyo,
Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia chochote yaani nimetoka patupu
Basi najisemea siku hazifanani kesho nayo siku
Ndio hivyo wakuu.
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata
3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa sababu ya kufahamiana na watu wenye nguvu. Hoja hii imeibua mijadala mikubwa hasa pale wananchi...
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana.
Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.