siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za kidini ndio ziwe siku za kutoa msamaha kwa wafungwa badala ya siku ya uhuru

    Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji. Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika sikukuu za kidini. Na jatika hili, sidhani kama kuna sheria inatamka kuwa misamaha hiyo itolewe...
  2. JamiiForums Tanzania Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

    Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa. Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
  3. JamiiForums Tanzania Mrembo asiyepiga mizinga mwenye swaga, tutoke naye siku ya Iddi; muhimu kufurahi na marafiki

    Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi. Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.
  4. JamiiForums Tanzania Mgeni kazingua mbaya siku ya Jumapili, kisa ushindi wa Simba!

    Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na waajiriwa wengine. Siku ya jumapili aliaga mapema kuwa ataenda kuutembelea familia ya rafiki...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako

    "Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako ,kutwa kukosoa wenzako na cha kuigwa huna katika Maisha yako" ....... Habari zenu wanajukwaa.... Kuna baadhi ya members wa jukwaa hili naomba niwaulize swali moja (JamiiForums) kwanini ilianzisha ukurusa wake kwenye mitandao ya...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  10. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

    Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  13. JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  14. JamiiForums Tanzania Shairi: Mgeni siku ya kwanza

    1. Mgeni siku ya kwanza, mpe mchele na panza, mtilie kifuuni, mkaribishe mgeni. 2. Mgeni siku ya pili, Mpe maziwa na samli, Mahaba yakizidia, Mzidishie mgeni. 3. Mgeni siku ya tatu, Nyumbani hamna kitu, Mna vibaba vitatu, Pika ule na mgeni. 4. Mgeni siku ya nne, Mpe jembe akalime, Akirudi...
  15. JamiiForums Tanzania Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

    Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa...
  17. JamiiForums Tanzania Siku kuu ipoje kwako

    Jamani nimeshinda ndani naumwa nimepika ila sijakula vizuri naumwa wapendwa au mmeniloga nisitoke leo? All in all bado naumwa najisikia vibaya sana
  18. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  19. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  20. JamiiForums Tanzania KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

    Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu. Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…