siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  2. JamiiForums Tanzania Nimebaini: Siku hizi watu hawatumii tena jina Tanzania bali wanatumia Tanganyika

    Kuna trend nimeona hivi karibuni ambapo watu wameacha kabisa kutumia jina la Tanzania, na kwa sasa wanatumia TANGANYIKA kama mbadala. Je, ni kwanini Tanganyika imechelewa kutumia mfumo huu ambao wale wa Tanzania visiwani wamekuwa wakitumia miaka yote? Nini hasa kilisababisha watanganyika kuona...
  3. JamiiForums Tanzania Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

    Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi. Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale. Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi siku Gerson Msigwa akifutwa kazi itakuwaje?

    Wallah sipati picha! Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi. Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi? Sielewi hata...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  7. JamiiForums Tanzania Manara amepotosha, Bandari ya Dar ilikuwepo siku zote, Mreno na Muarabu wameikuta

    Kuna upotoshaji mkubwa umefanywa na Manara ukishabikiwa na madalali wa kugawa bandari zetu kwa muarabu. Kuweka kumbukumbu za kihistoria sawa hapa JF nitaweka ufafanuzi kumjibu Manara. 1. Bandari ya Dar imekuwepo karne nyingi sana kabla ya wavamizi wageni kutoka sehemu mbali mbali duniani kuja...
  8. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

    Ndugu Wana JF, Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa. Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  10. JamiiForums Tanzania Siku nitakayoondoka kwenye haya mazingira ya sasa nitasema “Amen”

    Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one day yes
  11. JamiiForums Tanzania Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

    Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm. ======= Soma zaidi. Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa siku Muhimbili inaona Wagonjwa 2000 wa nje na 1300 Wanaolazwa kati yao wote 36% ni wa Waonjwa wa msamaha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema “MNH ndio hospitali kubwa Tanzania ambapo wataalamu bingwa wa kada nyingi wanapatikana hapa ambapo kwa siku tunaona wagonjwa wa nje kati ya 1,500 hadi 2,000 na waliolazwa takribani 1,300. “Asilimia 36 ya...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  17. JamiiForums Tanzania BBC Swahili ufanisi wenu katika lugha umepungua mno

    Yes, pasi na shaka ni wazi kabisa BBC swahili siku hizi ufanisi wenu umepungua mnooo yaani mna kiswahili kibovu mnooo yaani watangazaji wenu baadhi wana Kiswahili cha muundo wa english, yaani matumizi ya ngeli ni zero yaani in short kiswahili sio sanifu hata page zenu wanaoandika yaani hicho...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

    Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nilimaliza siku nne bila kula chochote, Nilikuwa naona kifo hiki hapa

    Baada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa. Nikaona hapa hapa nianze mchakato wa kuhama home. Maana niliona home ni kama wameanza kunizoea sasa. Kuna vi ishu vidogo dogo wananiambia nami niwe nafanya wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…