sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  3. JamiiForums Tanzania Sifa hizi zikufanye ukajitegemee

    Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele; 1. Umefika umri wa miaka 25 na haupo shuleni kwa ngazi yoyote. 2. Unaona hali ya familia haiwezi...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Sifa za biashara zenye wateja wengi

    Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena. Sifa kuu za biashara zenye mvuto wa kudumu kwa wateja, kwa kutumia marejeo kutoka kwa blogu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Bro to bro advice, Usimgeuze mke kuwa kitu alichokuwa sio, Kama ulitaka msomi, mfanyabiashara, mwanasiasa, ungemtafuta mwenye sifa hizo toka mwanzo

    Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections umpeleke chuoni kuongeza elimu, kumfungulia duka kubwa, kumuingiza kwenye siasa, n.k. hatakuwa tena...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Sifa ya Mgombea wa kiti cha Urais

    Nini sifa za mgombea kiti cha uraisi nchini kwangu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sifa za kugombea Urais TFF

    Habari.... Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, pamoja na kanuni za uchaguzi zinazotambuliwa na FIFA, mtu yeyote anayetaka kugombea urais wa TFF lazima awe na: 1. Uzoefu wa Uongozi Mgombea anatakiwa awe amewahi kushika nafasi ya uongozi kwenye soka (TFF, vilabu, vyama vya mikoa n.k.) kwa angalau...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia au sifa za kenge

    Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani. Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge 1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba. Hapa mamba na wale wakubwa au machawa bila shaka hili linawakera 2 Kwenye ana kiherehere Licha ya kuishi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  14. JamiiForums Tanzania Kigezo cha elimu walau ya Diploma kiwe sifa ya kuwa Mbunge

    Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge. Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu. Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  16. JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya CCM itambue huu utitiri unaoongezeka kila siku wa magari ya ving'ora na taa za bluu unawaharibia sifa kuwa wanadamu kama Watanzania wote

    Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola. Angalia kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…