sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Iran inakinywea kikombe kisichomstahili, Watanzania mlaaniwe kwa sifa za kijinga mlizokuwa mnaipa Iran

    Watanzania ni watu hatari na hamstahili kusikilizwa na sitahili yenu ni kulaaniwa kabisa Wakati wa tetesi za vita kabla ya vita inayoendelea Watanzania wengi hasa kutoka Misikitini, walikuwa wanaipamba Iran kwa mapambio ya kuogofya Eti Iran viwango vyake kimedani za vita, imevuka viwango vya...
  2. JamiiForums Tanzania Wahaya Mmezidi sifa sasa😂

    Leo nilikuwa nimeketi zangu ubalazani kutokana na heka heka za mvua iliyonyesha Leo tangu Asubuhi Hadi arasili kwahiyo watu wengi hatukufanikiwa kufika kwenye maeneo yetu ya kutafutia riziki tumeshinda nyumbn Kwahiyo katika kusogeza muda nikaamua niwashe redio bhana mara ghafla yakaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

    Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume 1. Controllers Hawa Ni Wale Wanawake Ambao, Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo, Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control. Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak" 2. Boxing Women Hawa...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  5. JamiiForums Tanzania Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

    SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa. 2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
  6. JamiiForums Tanzania Sifa ya mwanamke kutokujua kila kitu

    Demu atakiwi kujua kila kitu . Sio demu anamjua mpaka komando kipensi. Inatakiwa ukimuuliza “baby unamjua Lukaku?” akujibu “ni yule rafiki yako wa kijijini?” Ukimuuliza “baby, Haaland unamjua?” akujibu “si ndo yule mtoto wa mama James?” Sio demu anajua timu za mpira Bongo mpaka Ulaya, anamjua...
  7. JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

    1. mweupe kiasi si michubuko 2. umri kati ya miaka 25 hadi 30 3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6 4. awe tayari kusimamia biashara 5. Asiwe na mtoto 6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa 7. Dini( awe na hofu ya mungu) 8. awe anaishi kwao sio gheto 9. mwembamba kidogo 10. urefu 150...
  8. JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    "You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe. Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
  9. JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sifa za kuwa Kiongozi ndani ya UVCCM?

    Kumekuwepo na maneno ya sintofahamu toka kwa Viongozi wa UVCCM kwa nyakati tofauti. Hawaangalii umri wala nafasi ya mtu kwenye Jamii.
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma na Usomi phobia, kutokusoma siyo sifa!!

    Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea. Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake. Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha. Msukuma...
  11. JamiiForums Tanzania Sifa za watu wenye Group 'O' Ia damu

    Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu hawa mambo ya uongo na kuwachukia bila sababu za msingi hasa baada ya kushindwa kuwaangusha. Wanapenda...
  12. JamiiForums Tanzania Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?

    Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract. Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
  14. JamiiForums Tanzania Sifa za blacksheep na namna ya kuishi nao

    Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi: 1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi. 2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata njia yake bila kujali matarajio ya wengine. 3. Huonekana kama muasi – Anaweza kukaidi mila, dini, au...
  15. JamiiForums Tanzania Unavyopenda sifa za show off ili Ommy tutauliza marekani huko maana sio wageni.

    Marekani sio mbinguni.wana JF tunaomba kujua mke wake.
  16. JamiiForums Tanzania Nitajie sifa za watu wa namna hii "Akili battery low ila mdomo full charge

  17. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  18. JamiiForums Tanzania Kila la Heri Uganda leo tafadhali tunaomba mtufunge maana vinginevyo Sifa zote zitaenda kwa mama

    Hatutapumua.. Mara mama this mama that.. Uchawa uchawa tu .. Utasikia mama ameiwezesha.. Sijui mama amefanyaje... Uganda please tupo nyuma yenu pigeni hiyo timu ya Sisiemu... Timu ya wauaji.. Watekaji.. Waiba kura.. Uganda ushindi wenu una baraka zote za waliouliwa kinyama tar 29, Ushindi wenu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Uropokaji Ni Sifa Negative Kwa Kiongozi. Sasa Tuna Mropokaji wa Kutisha

    Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha. Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…