siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

    Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake. Jaji Luvanda...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  4. JamiiForums Tanzania Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

    Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

    Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani. Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake. Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa. Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

    Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
  11. JamiiForums Tanzania Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Mzee Ally Hassani Mwinyi kuhusu Siasa

    "Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi" Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

    Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa kuichungulia 2025 kuelekea mbio za urais, na balozi dkt w.slaa anaweza akaja kivingine na kuushangaza umma wa...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  18. JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
  20. JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…