Tuchague kipi kati Ukweli (A) na Siasa (C++)?

Tuchague kipi kati Ukweli (A) na Siasa (C++)?

Brain Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
7,002
Reaction score
14,566
Ukweli katika maisha ya Tanzania ni unavuna njaa na kutengwa, na makasiriko ya kila mara, Siasa inakupa pesa madili na maendeleo ya vitu, dhambi kuua, uwongo na unafiki.

Fanyeni mchakato wa kupiga kura.

Ntakuja endeleeni naandaa marking schemes zote mbili.
 
Back
Top Bottom