Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki?
Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya?
Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu?
Enzi hizo...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba.
Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
Ndugu zangu Watanzania Wazalendo kuna wakati tunapaswa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa baadhi ya siasa zinazofanywa na Ufipa kwa sababu Taifa letu lina thamani kubwa kuliko maslahi ya kisiasa ya watu wachache.
Tanzania imejengwa katika msingi wa amani mshikamano utu na kuheshimiana HII NI...
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake.
Je,
Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limetikiswa na shangwe na makofi kutoka kwa wabunge mara baada ya kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, aliyekuwa miongoni mwa wageni wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara...
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi
Awe sheria sio viongozi wajinga...
Hivi karibuni msajiri wa vyama vya siasa alidai kwamba, watu wanafikiri huwa hawaandikii CCM barua za kujieleza kwa sababu anapowaandikia CCM barua hizo CCM huwa hawazianiki hadharani kama wanavyofanya Chadema. Labda ni kweli.
Lakini sasa, kwa kuwa vyama vya siasa ni vyama vya umma na sio...
Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga.
Anasema ni kama tunaanza...
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
Mpendwa Rio,
Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
Ilianza NCCR ikapotea CUF wakachukua nafasi yao CUF nayo ikapotea CHADEMA ikachukua nafasi ila kwa tulipofika sasa mabadiliko yatapatikana kupitia CHADEMA au hayatapatikana kabisa. Hakuna dalili kuna chama kitakachoweza kuchukua nafasi ya CHADEMA kutoka miongoni mwa vyama vilivyopo au hata chama...
Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
Mfano hapa Tanzania,
kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...