siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Nyahoza: Vyama vya siasa vifuate sheria tusiwe tunaandikiana barua

    Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania SIASA SIO KICHAKA CHA UHUNI AFRIKA. NA KUWA MPINZANI SIO GEREZA LA WAKOSA AKILI.

  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuachwa loemba na siasa za Mo

    Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba. Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

    Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za Taharuki: Tuchague Amani au Migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania Wazalendo kuna wakati tunapaswa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa baadhi ya siasa zinazofanywa na Ufipa kwa sababu Taifa letu lina thamani kubwa kuliko maslahi ya kisiasa ya watu wachache. Tanzania imejengwa katika msingi wa amani mshikamano utu na kuheshimiana HII NI...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili shangwe la Wabunge kwa Shaka Hamdu Shaka linamaanisha nini kwa Siasa za Sasa, Je arudishwe?

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limetikiswa na shangwe na makofi kutoka kwa wabunge mara baada ya kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, aliyekuwa miongoni mwa wageni wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Msajili wa vyama siasa tena

    Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi Awe sheria sio viongozi wajinga...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msajiri wa vyama vya siasa awe anaweka hadharani barua anazoviandikia vyama vya siasa na majibu yao kwa sababu inahusu mambo ya umma sio siri

    Hivi karibuni msajiri wa vyama vya siasa alidai kwamba, watu wanafikiri huwa hawaandikii CCM barua za kujieleza kwa sababu anapowaandikia CCM barua hizo CCM huwa hawazianiki hadharani kama wanavyofanya Chadema. Labda ni kweli. Lakini sasa, kwa kuwa vyama vya siasa ni vyama vya umma na sio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya si mali ya Chama chochote cha Siasa bali ni mali ya Wananchi

    Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga. Anasema ni kama tunaanza...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wetu bure Kabisa nilitegemea leo kuamkia kwenye Offce ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu kauli ya Chatanda Kimya

    Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu za vyama zimefika saturation point kwa CHADEMA

    Ilianza NCCR ikapotea CUF wakachukua nafasi yao CUF nayo ikapotea CHADEMA ikachukua nafasi ila kwa tulipofika sasa mabadiliko yatapatikana kupitia CHADEMA au hayatapatikana kabisa. Hakuna dalili kuna chama kitakachoweza kuchukua nafasi ya CHADEMA kutoka miongoni mwa vyama vilivyopo au hata chama...
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Siasa ni sayansi, si mchezo mchafu

    Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa.
  20. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
Back
Top Bottom