Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu.
Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?.
Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake.
Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
Walahi nyumbu hamuishi! Akili zenyu fupi ndio maana mnawaona hero watu ambao ni wakawaida sana. Hamchoki kuumbuka sijui. Huyo Robert hata sijui anaandikaga nini. Lakini mnavyomshadadia. Muwage mwasoma simbilisi nye. Mwamlaumu bule tuu huyo kijana hakuwahi kuwa na uwezo wowote.
Na bado...
Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika.
Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
Hakuna wa kushauri, hakuna wa kukemea, hakuna wa kutoa kauli ya mwisho ,
Wote wanajiona wana nguvu sawa.
Nyumba isiyo na Baba, hata Mama akipewa mamlaka bado atajiona ni Mama tu .
Tumeyakanyaga, tumeipenda wenyewe lazima tuinywe.
Cc Zero IQ.
Wengi wamehuzunishwa na kifo cha Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya. Ni haki yao. Wengi, hata hivyo, wamesahau damu na vifo vya Gen Z waliotekwa na kuuawa na serikali aliyojiunga nayo baada ya kuwasaliti kabla nae hajamalizwa kama wengi wa wakenya wanavyosema. Funzo.
Malipo kumbe ni...
Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali.
1. Hivi kweli chama tawala kinautajiri wakuwanunulia makatibu na madiwani wote kata nchi nzima pikipiki.
Baiskeli kwa mabalozi au wajumbe wanyumba kumi wote nchini.
2. Hivi kunakampeni imetumia gharama kubwa toka uchaguzi wa vyama...
VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema
"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya...
Vijana wametakiwa kuitunza amani ya taifa na kufuata siasa safi isiyokuwa na matusi ikiwa ni njia ya kumuenzi hayati baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere.
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?
Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?
Enyi watu wazima ambao mliona...
Calling all the watchman, The intercessors, The chosen one, Prayer warriors, Seers, Teachers of the word, wailing women
Let's raise an alter of prayers for Humphrey Polepole at 12 am all time zone. We are sending prayer petition to the court of Heaven.
Remove all legal rights that the enemy is...
Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi...
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
Wakati hatuna ambulance za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.