rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,070
- 25,745
Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba.
Wakati huo tajiri anayependa kususa timu ikifanya vibaya akarudi kwa kasi baada ya kuona mwelekeo wa timu umebadilika, akatoa picha anamsainisha mkataba Mpanzu na juzijuzi katembelea timu na kuwaahiidi bilioni 1 wakitwaa ubingwa.
Pia dada yake naye ameonekana akienda kuitembelea timu wakati timu inafanya vibaya walikuwa wamejitenga. Sasa hivi kuna wachambuzi na watu wanaolipwa mtandaoni wameanza kutengeneza propaganda kuhusu ubora wa Inno Loemba makusudi aachwe ili mradi mo hapendi mtu mwingine apate sifa zaidi yake.
Timu ikifanya vizuri sifa ziende kwake ila timu ikifanya vibaya alaumiwe Mangungu na sasa hivi Jayruty alikuwa anasifiwa usajili wa dirisha dogo kitu ambacho kinamuuma.