Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii
Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini
Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU
Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau."
Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
Kama Title inavyosema
Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari
Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa
Mimi naamini hasara zake zinaweza kuwa kwa kiwango kikubwa sana
Pale ambapo mtu au kundi la watu...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Siasa zimekuwa sumu inayoua utaifa wetu kimya kimya kuja kushituka tutajikuta mateka kati yetu wenyewe
Leo vyuo vikuu vimekuwa wazalishaji wakubwa wa machawa badala ya wataalamu
Vijana wengi wameamua kuingia kwenye siasa za vyama kwa ajili ya kulinda kesho yao. Hawana uhakika wa kuishi bila...
Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama...
Haya ndio madai ya chawa wa...
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia!
_Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula
_Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya!
_Fedha inaweza kununua vitu vya Anasa sio Furaha!
_Fedha inaweza kununua vifaa vya vita vya Kila aina sio Amani!
Kusingiziana wanadamu...
Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu...
Kufuatia yaliyotokea (sitayarudia hapa), kuna wenye mtazamo kwamba ni matokeo ya ujumbe vs usahihi wa jukwaa ulipotolewa.
Binafsi nimejikuta na fikra tofauti. Je, ni sahihi kuhitimisha kwamba siasa za tutawafanyia/tutawajengea hiki zimepitwa muda wake? Kwa akili zangu za kawaida, naamini wenye...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa.
Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17...
Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
Haitham Nassor Suleiman, amevituhumu vikali vyuo vikuu na asasi za kiraia (CSOs) nchini kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kimsingi wa kuwajengea uwezo wa kuhoji na kuwapa jukwaa vijana .
Akizungumza leo Julai 9, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia, Haitham amebainisha kuwa taasisi hizo mbili...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi.
Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.