siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Je, ni baina ya vyama vya siasa au baina ya madhehebu ya dini?

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake. Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Baba alinishauri nisiandike nyimbo kwa ajili ya vyama vya siasa kwa sababu ni vya mpito tu

    Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5. Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Michezo ya kitoto kuelekea ‘usuluhishi’ hewa

    Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa. Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Tanzania

    Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa naropoka eti haziwahusu, baada ya maandamano wamejua kwamba siasa inawahusu

    Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake. Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
  7. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Robert Heriel ameishiwa mawazo. Mufilisi kabisa. Siasa huziwezi

    Walahi nyumbu hamuishi! Akili zenyu fupi ndio maana mnawaona hero watu ambao ni wakawaida sana. Hamchoki kuumbuka sijui. Huyo Robert hata sijui anaandikaga nini. Lakini mnavyomshadadia. Muwage mwasoma simbilisi nye. Mwamlaumu bule tuu huyo kijana hakuwahi kuwa na uwezo wowote. Na bado...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi

    Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika. Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
  11. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Siasa Siasani, Mama kambale, Mtoto kambale, wateule Kambale wote wanajiona sawa

    Hakuna wa kushauri, hakuna wa kukemea, hakuna wa kutoa kauli ya mwisho , Wote wanajiona wana nguvu sawa. Nyumba isiyo na Baba, hata Mama akipewa mamlaka bado atajiona ni Mama tu . Tumeyakanyaga, tumeipenda wenyewe lazima tuinywe. Cc Zero IQ.
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Raila ni malipo ya damu ya Gen Z au mpango wa Mungu? Kamsalimie Magufuli

    Wengi wamehuzunishwa na kifo cha Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya. Ni haki yao. Wengi, hata hivyo, wamesahau damu na vifo vya Gen Z waliotekwa na kuuawa na serikali aliyojiunga nayo baada ya kuwasaliti kabla nae hajamalizwa kama wengi wa wakenya wanavyosema. Funzo. Malipo kumbe ni...
  13. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali

    Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali. 1. Hivi kweli chama tawala kinautajiri wakuwanunulia makatibu na madiwani wote kata nchi nzima pikipiki. Baiskeli kwa mabalozi au wajumbe wanyumba kumi wote nchini. 2. Hivi kunakampeni imetumia gharama kubwa toka uchaguzi wa vyama...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Bodaboda Arusha wapo 'Lokapu' wakituhumiwa kula hela za kempeni za chama cha Siasa

    VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
  15. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchambuzi wa siasa Said Miraj: Vyama vya siasa vimekomaa katika Uchaguzi huu

    Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema "Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalimu Nyerere hakutaka siasa za matusi

    Vijana wametakiwa kuitunza amani ya taifa na kufuata siasa safi isiyokuwa na matusi ikiwa ni njia ya kumuenzi hayati baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere.
  18. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo akili ya Lissu inaweza kusemwa ni AI

    Ipo siku miaka zaidi na zaidi ijayo hii akili kubwa ya Mh.Lissu watu watabisha na kusema ni AI. 😂
  19. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  20. JOANNA

    JamiiForums Tanzania Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Calling all the watchman, The intercessors, The chosen one, Prayer warriors, Seers, Teachers of the word, wailing women Let's raise an alter of prayers for Humphrey Polepole at 12 am all time zone. We are sending prayer petition to the court of Heaven. Remove all legal rights that the enemy is...
Back
Top Bottom