siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Solo J Mwigulu

    JamiiForums Tanzania Prisoner’s dilemma” na siasa za madola makubwa

    Katika nadharia ya mchezo (game theory), mojawapo ya mifano maarufu zaidi ni “mtanziko wa wafungwa” (Prisoner’s Dilemma). Mfano huu unaonyesha jambo la msingi: mataifa au watu wawili wanaweza kushirikiana ili wote wanufaike, lakini hofu ya kusalitiwa huwafanya wachague kujilinda wenyewe, hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CAHDEMA kimetoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati

  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wamechoshwa na Serikali, Dini na Siasa: Wanataka kuwa huru

    Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu katikakati ya vurugu " to bring order out of chaos". Watu waliipokea imani hiyo na kukasimisha mamlaka yao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Afrika na siasa za majitaka kunavyowafelisha

    Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu. Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je Russia alikogeukia Mama inapendezwa na staili ya siasa za Tanzania...

    Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni. Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinachofanya siasa miaka ya sasa bado kina fikra za miaka ya 70's zenye roho ya u Swahili Swahili mostly hata ibada hawafanyi

    Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye timu za Mpira ni kuhujumu Michezo. Sio Kila mchezaji ni CCM

    Hamjambo! Mpira ni mchezo na burudani kwa Watazamaji na mashabiki. Lakini kwa Kocha na wachezaji na benchi la ufundi kwao ni KAZI. Unapoleta siasa kwenye kazi za watu unaleta hatari za kuhujumu kazi husika. Ndio maana watumishi wa umma na wanataaluma hawaruhusiwi kujihusisha na siasa. Fikiria...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa za kumtaja Rais na kumsifia kila mahali hadi kwenye michezo zinaisaidiaje nchi?

    Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama! Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Watoto wanacheza vizuri, mkiingiza siasa mtaharibu

    Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini. Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia mambo ya mama wala nini.
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

    Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of. Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level! Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Nyahoza: Vyama vya siasa vifuate sheria tusiwe tunaandikiana barua

    Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  16. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania SIASA SIO KICHAKA CHA UHUNI AFRIKA. NA KUWA MPINZANI SIO GEREZA LA WAKOSA AKILI.

  17. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuachwa loemba na siasa za Mo

    Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba. Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

    Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Siasa za Taharuki: Tuchague Amani au Migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania Wazalendo kuna wakati tunapaswa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa baadhi ya siasa zinazofanywa na Ufipa kwa sababu Taifa letu lina thamani kubwa kuliko maslahi ya kisiasa ya watu wachache. Tanzania imejengwa katika msingi wa amani mshikamano utu na kuheshimiana HII NI...
Back
Top Bottom